@bongo.media1: Moja ya mjadala ambao ulikuwa unaendelea kati ya Ibraah na Marioo ni kuhusu bifu lao linalonekana kukuwa kila siku,pia msanii huyo amefunguka kuwa Marioo alikatataa nyimbo 10 ambazo zipo kwenye album yake.
marioo kama unaroh ya ivyo bc mashabik utatpoteza ibrah anajua bhana
2026-10-28 18:31:32
10
💝pretty kidot💝 :
achananaoo ibra ngoma zako kali zooteee mungu akufikishe mbaalii🥰🥰
2026-10-28 19:01:22
4
Kenny peter 26 :
🤣🤣 oyaaaaaaa we oyaaaaa we noma kaka
2026-10-28 22:57:11
1
Maiko Mgode :
kweli kaka nakukubalu.sana
2026-10-28 20:06:36
2
𝕬𝖓𝖚 𝕱𝖆𝖒𝖔𝖚𝖘🇳🇬🇬🇭 :
me n mtanzania bro leo ndo nimeongea kiswahil niliach music wa tanzania toka na 14 age baba angu alivyo toka nigeria ibadan state nikaanishaur nipambane na nikomae na music afrobeat English Pidgin Egbo so angalia account unawez sema.me so mtanzania
2026-10-28 18:00:56
3
morinejoseph40 :
unajuwaa mnoo mm mwenyewe umenikosha nyimbo ya ex
2026-10-28 18:39:15
2
Zeddy14 :
kijana km alizingua nmetoka huko kwa marioo ataakitoa nyimbo gani siskizi hii nayo iko kwa damu
2026-10-28 20:28:15
1
BOSS BORY :
upo sahihi kabisa
2026-10-28 18:39:24
1
Mkf asznee :
Dogo ana pambania huruma kila akipata fursa🤦🏿♂️🤦🏿♂️
2026-10-28 18:17:06
10
Kelvin Magembe :
facts Ibraah
2026-10-28 19:01:13
1
Itsfedan :
Kwani marioo huwa anataka ngoma gani mana ad verse ya MBOSSO aliikataa du ila ukubwa 😂
2026-10-28 19:10:42
1
official Mnondwa🔹 :
ALBAM GANI HAIISHI BANA 😅😅
2026-10-28 18:49:18
1
jay:"""@nseth!!! :
achana nao kaka ibra omba mungu akufungulie njia safi zaidi kwenye kaz zako
2026-10-28 18:46:10
1
Lameck Venas :
ibraa hongela sn kwaz nzur
2026-10-28 18:42:32
1
justin jey 11 :
pamoja kaka
2026-10-28 18:17:57
1
To see more videos from user @bongo.media1, please go to the Tikwm
homepage.