@john_madeje:

John Madeje
John Madeje
Open In TikTok:
Region: TZ
Wednesday 28 October 2026 15:56:00 GMT
329222
9547
143
997

Music

Download

Comments

gegedu87
Gegedu :
akigundua umenunua kwangine atakwambia hiko fake au hakiingiliani
2026-10-28 22:44:40
101
belle_luke
LukeLM :
na mafundi wa nyumba, welding, kiufupi mafundi wote usikubali akupendekezee duka au muende wote dukani
2026-10-28 16:01:42
52
success22offiacial
official vane Sharon ♥️♥️ :
Mimi nauza tiles na wateja wangu ni mafundi 😂😂😂😂😂😂 nipo kariakoo karibun mafundi tufanye kaz
2026-11-04 08:00:33
2
kadijol21
kadijahothman4 :
sio mafundi magari t ata mafundi ujenzi wagonga bati anakuelekeza dukani alafu anapiga simu jaman 🙌
2026-11-01 12:03:11
4
madamz623
Madam nee💰 :
Fomen💔
2026-11-01 07:40:56
1
tuzo.nyava
Tuzo Nyava :
Ohoo fundi wayaringi zamajumbani ,,alitaka kuniliza Kisha kaambulia pakavu dukani anakotaka nikabebe sikwenda na beii ilikua inazidi gharama za vifaa vyote na nilipofika nikamuuliza vifaa ulivokua unataka ndio hivi! kasema yees ni vyenyewe,,alipo maliza kazi nikamlipa pesa yake yaufundi vingine havinihusu[Laugh approved][Tears of joy]
2026-11-01 10:08:41
1
www.joyce.kiss.me
Joyce mrembo :
ila fundi ujenzi sitowai RUDIA mtuma hahaha Yani kumbe wanauziwa jumla vifaa na Bado wanatupiga
2026-10-30 11:24:25
3
michael.don.king
mrs.john :
kiujumla mafund ujenź nawauza spea niwezi
2026-10-30 06:14:30
2
brymilies
Mr B :
Ndio maan sitak kununua gari kabisa
2026-10-28 19:38:02
3
scolah222
scolah :
wanatufanya tushindwa kutengeneza magari kwa mwendo huu
2026-10-29 09:50:37
2
caramprint
Caramprint :
Hili ndio tatizo letu kubwa sana
2026-10-29 09:26:07
4
ruge2024
Ruge :
kuna fundi anakuonesha ni kibovu kumbe sio kibovu unaenda unanunua anakuelekezw duka unaenda unanunua safi bei ileile alafu ukija na kile cha zamani anabaki nacho anakuwekea ulichokinunua kwa huruma theni anarudi kumuuzia mtu mwingine hicho ulichoacha 😅
2026-10-30 13:49:49
1
kiserecha2
kiserecha2 :
Fundi mabati nomaaaaa
2026-11-01 12:44:13
2
marthagodson6
martha godson :
mm paka vilivoharibika nakaaa navyo[Tears of joy][Tears of joy][Tears of joy]
2026-10-29 06:36:55
1
fatumasemponda
Fatuma Semponda :
tuyaache wengi kesho
2026-10-29 05:20:21
2
madale033
madale033 :
😂😂😂😂bro ujakosea ni hvy kbs
2026-10-28 20:06:31
8
omar.mtumweni
Omar Mtumweni :
fundi hakubali
2026-10-29 07:22:40
2
jojo_drama
jojo_drama :
Mimi jana tu
2026-10-29 06:44:41
1
dmmissionary
From your contact :
Alafu ukija ukanwambia ulipata kwengine atakataa kuweka akambie ni feki 😂
2026-10-28 21:21:31
8
tshirt_zinaongea
Tshirt Zinaongea :
😀😀😀kweli kabisa hii
2026-10-28 19:09:10
1
abdulblackamerica
Abdulrahman Said942 :
jamaaaa ana D 10
2026-10-28 18:13:08
4
rashidimtika912
rashidimtika912h :
bro unatuharibia bhana
2026-11-03 08:32:23
1
www.bteboboe.com
B TEBO M-4l⚙️ :
hiyo mbinu ishapitwa na wakat tuna mbinu mpya asaiv matajiri wameshastukia hii 😂😂😂😂😂😂😂
2026-11-03 13:32:17
0
waa19057
waa 🦋 :
😅😅😅😅😅tunaofanya biashara na mafundi tunajua shida iko wap😅😅😅
2026-11-03 14:01:41
0
q.gal464
Shania istore :
wauza simu je😅
2026-10-28 19:47:40
1
To see more videos from user @john_madeje, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About