@ticha_fungo: 🏆❤️ SHUKRANI ZA DHATI KWA CHIDO POINT! ❤️🙏 Ninayo furaha na heshima kubwa kutoa shukrani zangu za dhati kwa CHIDO POINT kwa kunitunuku tuzo ya kutambua mchango wangu kama TALENT DEVELOPER, katika hafla iliyofanyika mbele ya Naibu Waziri wa Maendeleo ya Jamii. 🇹🇿👏 Kwangu, tuzo hii ni zaidi ya tuzo; ni hamasa ya kuendelea kugundua, kulea na kukuza vipaji vya watoto na vijana, kuwapa nafasi ya kuonyesha uwezo wao na kuwasaidia kufikia ndoto zao. Nawashukuru CHIDO POINT @Chido_point kwa kutambua juhudi zangu katika safari hii. Ninaamini kuwa kila kipaji kinastahili nafasi, kila ndoto inastahili kuungwa mkono, na kila mtoto ana uwezo wa kuwa mtu mkubwa katika jamii. Asanteni CHIDO POINT kwa kuthamini kazi yangu. Safari ya kukuza vipaji inaendelea! 🙏❤️🏆 #SupportVipaji #FutureOfTanzania #TichaFungoTalentDeveloper
shukuraniiii ganiiiiiiiiiiiii😁...unasema nn ticha fungoo
2026-10-28 18:06:17
7
Mrs dully❤ :
Mim niko mbali na iyo shule pangekuwa na bweni apo mungu shahidi mdogo wangu angesoma shule hiyo kwaajili ya huyu mwalimu
2026-10-29 04:28:29
2
Grace_tz :
Hongera sana fungo
2026-10-29 08:14:16
0
G philopa :
unasema nn ticha fungo shukrani Gani? hongera sana uendelee na moyo huo huo
2026-10-28 18:36:35
1
❤️Bellah❤️ :
Tuzo gaani tr fungo , na unasema nn
2026-10-28 17:42:17
1
Getrude :
2026-10-28 17:41:27
1
Tues Attinda :
Congrats brother
2026-10-28 17:22:33
0
fridamalulu :
hongera sana mwalimu
2026-10-28 18:20:28
0
@wtinesqueen :
hongera sana
2026-10-28 21:25:00
0
isher🍷juice krein🌹 :
Tuzoo ganiiiii 😁
2026-10-29 07:51:55
0
FahmyBalouch :
Kila shule Tanzania hii ingepata mwalimu 1 tu km ww ingesaidia sana katika kugundua na kukuza vipaji vya wanafunzi
Dunia ya sasa imebadilika Vipaji ni ajira
Kuna wanafunzi ambao hawafanyi vizuri sana kwenye masomo ila wanakuwa wamebarikiwa vipaji ila inahitaji mtu mwenye jicho la ziada wa kuona hicho kipaji,na haimaanishi wenye vipaji wote si wasomi wako waliobarikiwa kuwa na kipaji na wasomi wazuri pia
Ntarudi shule nije kusoma Lumumba ugundue kipaji changu 😁🙌 @Ticha Fungo
Hongera sana kaka unastahili tuzo hio 👏👏
Mungu akubariki sana 🙏
2026-10-29 01:28:04
0
Real ommy 🤯 :
on 🔥🔥...
2026-10-28 17:42:42
1
tunu_babyshop &maternity_mbeya :
Mungu azidi kukuinua Ticha🙏🙏🙏🙏
2026-10-28 18:59:30
0
mziwandawachido :
Hongera sana ticha wewe mtu poa San
2026-10-28 20:03:31
0
ummy Ilyasaa :
sizaan kama ni yako, labda ni AI.. by the hongera sana ila umewasahau wale maustadh hatuwaoni tena.
2026-10-28 20:05:01
0
hance__proper2 :
aliekupa hio tuzo huyo Dada mnaendana sana
2026-10-29 06:24:16
0
Nifferlishazy 🌹 :
🙏🏾🙏🏾
2026-10-28 16:54:38
1
Lulusmile@15 :
[Heartwarming][Heartwarming][Heartwarming]
2026-10-29 07:08:21
0
Boss Mama💕❣️ :
🥰🥰🥰
2026-10-28 21:54:25
0
Hellen Ashery :
[Heartwarming][Heartwarming][Heartwarming]
2026-10-29 03:43:01
0
user2939313284194 :
😳😳😳
2026-10-29 07:12:59
0
To see more videos from user @ticha_fungo, please go to the Tikwm
homepage.