@yas_tanzania: Sisi wala hatuna baya, ukirudi tunakupatia ofa chini ya kampeni yetu ya “Amsha na Yas” ikiwemo midakika kibao tu💛🤝 #ZingatiaMtandaoWaViwango
Kuna kipindi ikifika talee yang ya kuzaliwa mlikua mnanipa mb500 saizi mmeacha kwanini 🥺
2026-10-28 19:09:09
1
jackprimesuno :
kwani huu ni mtandao 😂😂 mm wale agents wa yas wakinisimamisha nawaambiaga siitumi hiyo 😂😂😂
2026-10-28 19:20:58
0
Jovin :
Yas wanasumbua kila saa wanakutumia meseji mara jiunge mara muziki mambo ni mengi 😭
2026-10-28 19:37:33
0
nothing better :
mbona yas ndo hakuna kitu kabsa
2026-10-28 19:27:12
0
Ozem :
KITU MNACHONIKWAZA YAS TANGU NIMESAJILI LAINI YENU IMEPITA MIAKA 2 NA MIAMALA NAFANYA MIKUBWA TU ILA NIKITAKA KUKOPA BUSTISHA MNASEMA SIJAKIDHI VIGEZO MNANIKWAZA SANAAA🥲
2026-10-28 19:31:05
0
Serenity ✨ :
Niongee kwa kusimama au kwa kukaa 😭😭😭😭😭 Am glad am back home safe and sound 😂😂😂
2026-10-28 19:23:02
0
MALIK :
siku ya kwanza kuomba kazi yas 😁😁
2026-10-28 19:12:18
0
aimtreymilles :
Ni mwendo wa viwango tu
2026-10-28 16:49:31
0
norex clinic :
ila tigo bhn
2026-10-28 16:56:12
0
tulizo :
2026-10-28 18:34:03
0
BATUTA :
Nikiwa waitaj niwe nauza routa za yas napataje iyo fulsa
2026-10-28 17:03:06
0
Isaac :
🤣🤣🤣🤣
2026-10-28 16:49:29
0
FOREX INSIGHT TZ 🇹🇿 🇰🇪 :
2026-10-28 16:47:48
0
official_iren🖤 :
ila nawapenda pale kweny kuzungusha gurudumu mnanisaidiag sana...[Heartwarming][Tears of joy]
2026-10-28 18:20:31
0
RAIS WA GEN Z :
😁😁😁Yas🔥🔥🔥first comment here
2026-10-28 16:46:23
1
Scorpion_wanaman_ :
halafu mjue simu zenu zinazingua unaingia kwenye mara paaapu inakuwa nyeusi inakurudisha nyuma kabisa inabore ni vile tu haijui
2026-10-28 19:00:09
0
IBRAAH_JR 🌀 :
nyie wenyewe miyeyusho balaa
2026-10-28 19:26:23
0
matindiga :
😂😂🤣 ila admini huyu ni gen z kbc huyu
2026-10-28 18:25:36
0
COVER OG :
🙌🙌🙌
2026-10-28 16:58:58
1
VITENGE LUXE MOSHI :
😅😅😅
2026-10-28 19:40:32
0
Sylas :
😂
2026-10-28 17:54:27
0
💫💫ma kevoo :
😂😂😂😂🤣
2026-10-28 18:07:48
0
Muu :
😂😂😂😂😂
2026-10-28 17:19:05
0
#muhaBundles. :
😁😁
2026-10-28 20:44:09
0
To see more videos from user @yas_tanzania, please go to the Tikwm
homepage.