@userbradboy40: 🚨 MASHABIKI WA MAMELODI SUNDOWNS NA KAIZER CHIEFS WAIUNGA MKONO SIMBA! 🇿🇦 Kupitia mitandao ya kijamii, baadhi ya mashabiki wa Mamelodi Sundowns na Kaizer Chiefs wameonyesha kuiunga mkono Simba SC katika hatua ya makundi, huku wakiomba iifunge Orlando Pirates ili kurejesha furaha kwa mashabiki wa soka Afrika Kusini. 🔥 Wakieleza hisia zao, mashabiki hao wamedai kuwa kwa sasa hawana furaha, hasa baada ya timu zao kuondolewa mapema kwenye mashindano ya CAF. Simba imeshapata mashabiki wa bure kabisa Afrika kusini #SimbaSC #MamelodiSundowns #KaizerChiefs #OrlandoPirates #SimbaJrSport
simba roars louder particularly 2 those who try and brag....
2026-10-29 10:17:23
0
scarla :
mungu ibariki simba kwenye ligi za ndani na nje Amen
2026-10-29 08:56:33
18
Ayoub Yusuf :
orando and berkane😅😳😁ssc 2- orando 0 and sac 3- barkane 0
2026-10-29 11:18:42
0
🥰Oliver G💋 :
Limeisha Hilo kama south Africa wanamwamini simba mimi yanga ni nani nipinge
2026-10-29 06:59:18
14
C E O :
all kaizer and mamelody are supposed to sing song known as "Libase moto" every thing will be oky
2026-10-29 07:07:36
9
KIDEVU ❤️🩹 :
Kwan simba ni WA south Africa na sijui
2026-10-28 19:06:43
14
Tiffan🥷 :
msitufanye watumwa[Tears of joy][Tears of joy][Tears of joy]
2026-10-29 04:32:30
2
Charles mihayo :
Asante tutafanya hivyo
2026-10-28 18:42:38
15
Hashimu Ngatara :
mungu yupo pamoja na simba
2026-10-28 18:51:46
11
Simba mnyama Tz🇹🇿 :
Kikubwa ushirikiano2 kushinda ni kawaida yetu wanasimba nguvu moja 💪💪🦁🔥
2026-10-28 18:59:01
9
Mashel Macha :
Hi game itakuwa ya moto sanaaa i vita imeanza mitandaon inakuja kumalizikia uwanjani 😂😂
2026-10-28 19:48:54
6
MAWAZO YANGU :
ila wanasimba wenzangu bola berkane ujue Orlando ni ngumu sana msimu jana alimpiga al ahyl pale pale cairo tena sio kwa bahati na mpila alimvhezea japo hii Orlando ya msimu huu sijaiona
2026-10-29 09:00:29
1
Mac_ally :
DOMBIA YUPO WASIJALI😂😂🔥
2026-10-29 11:55:02
2
YG :
Simba inatoboa Orlando hawez kumfung Simb nice Football nawakubal San Together 💯❤️
2026-10-29 07:07:26
1
EVATY💯445JBOY :
mbna mapema sana aise😳😳😳
2026-10-29 04:14:11
2
nyam😋 :
yaan Hilo limeisha nikikumbuka Orlando walivotukatili ule mwaka siusahau 😂😂😂