@megamedia_21: Mrembo, Miss grand International 2026 @jihandimack alifuka katika makao makuu ya wizara ya michezo na kukutana na naibu waziri wa michezo Mwanafa na kuonyesha nidhamu ya hali ya juu katika mazungumzo yao kuhusu safari fupi ya Miss Jihan. #missgrandtanzania2026 #jihandimack
MEGA MEDIATZ🇹🇿
Region: TZ
Wednesday 28 October 2026 17:37:19 GMT
Music
Download
Comments
lakishtone 🔥♥️ :
sema mbona haongei kiswahili 😔
2026-10-28 18:26:12
34
maria k :
jamani huyu dada anaongea vizuri mpole sana mpaka raha
2026-10-28 19:14:34
79
Official_kachory :
Me ananiuz ety haongeii kiswahilii
2026-10-29 03:28:12
4
user8281618476091 :
alitusomesha mbona haongei kiswahili sisi wa hali ya chini tunajikomba kuwapigia kura
2026-10-28 19:42:07
6
Official diao the gospian :
Jihan anaelewa sana kiswahili lakn kuongea ndiyo kidogo!
kama Mimi tuu, naelewa sana kihehe na ni mhehe. lkn kuongea ndiyo changamoto 👍🏻👍🏻
2026-10-29 05:24:36
11
Parker06 :
uyu jihan namjua mama yake na mama yangu wote ni wamama😁
2026-10-29 04:25:46
6
fatuma kajembe :
yupo kama mimi mtu akiniongelesha kingereza namuelewa kumjibu sasa 😅😅😅
2026-10-29 12:52:52
4
Jihan Dimack fans🇹🇿❤️ 👑 :
Jihan ni mpole na ana hekima sana mashalaah 🥰❤️
2026-10-30 18:43:45
2
Obed Charles :
mm mnanichanganya huyu dada mbona haongei kiswahili wakati kiswahili moja yautalii? nashidwa kualewa
2026-10-29 12:45:14
0
ndonga :
kumbe anajua kiswahili
2026-10-28 19:43:49
5
Valentina Vanessa :
very kind 🥰 🥰
2026-10-28 19:35:02
4
🌸carrenifreddy🌸 :
ukiskia hekma ya suleiman ndo hii kabarikiwa hekma huyu dada neno lake kubwa asante good 👍 🥰
2026-10-28 21:16:32
5
ms shaidi. :
ohooo asante
2026-10-29 04:13:27
2
Aisha heena arusha :
KARIBUN NACHORA HEENA❤️
2026-10-29 15:15:13
1
ABEL AUTO SPARE PART :
arusha lini jamani
2026-10-28 20:00:09
1
Odria :
2026-10-28 20:56:37
1
คนขิตเพลง :
🥰🥰🥰
2026-10-29 03:01:36
1
user8281618476091 :
tumepigwa
2026-10-28 19:45:25
3
preety mamu :
yan mrembo ,anayo hekima , anayo upendo alafu aringiii ata 🥰🥰nakupenda sana
2026-10-28 18:54:47
8
Lulusolomone :
she is very innocent young lady congrats
2026-10-30 20:06:39
0
𝐌𝐢𝐬𝐬 𝐆𝐢𝐟𝐭 ᥫ᭡ :
2026-10-30 16:10:51
0
official swaum :
amekaaje uyo jihan
2026-10-29 18:18:41
0
Dangote mussa :
napenda bule huyu dada
2026-10-29 19:08:48
0
Bupe :
Kwa nini tuzijivunie mwanetu na minimempenda adabu yake amewashinda wanawake wengi utafikiri mke wa machiefu wa kinyakyusa
2026-10-28 20:23:57
3
🔸SAFFETY ELLY🔹 :
Bora umemuuliza kama ali vote maana wanajifany wako bize🤣
2026-10-28 19:53:51
2
To see more videos from user @megamedia_21, please go to the Tikwm
homepage.
© 2021-2026 TikWM. All rights reserved.