@dna_ya_dizasta_vina: ⚖️🧠mzee wa upako siku ya kwanza kumsikia Helien wa AFRICAN 👽# ⚫️ Maradona ⚖️🧠DZST VN #🧠 #AFF

Dna ya dizasta vina
Dna ya dizasta vina
Open In TikTok:
Region: TZ
Wednesday 28 October 2026 17:44:05 GMT
30492
2948
42
111

Music

Download

Comments

petermalaga3
petermalaga3 :
Huyu jamaa kama usijaribu kumsikiliza!!! ukimpa sikio tu tayari amekuteka na kuwa shabiki yake.....Jamaa anajua kuandika
2026-11-02 17:53:56
32
mrumbi_og
Lupy King :
ngoma inaitwaje io
2026-10-28 19:05:39
4
khovistar
khovi mkali @tz :
kanisa inaitw
2026-11-03 07:22:06
0
user37474674813783
chest tz 52 :
ameshajaa huyo 😂😅 ni wetu team dzstvn
2026-11-14 22:05:29
3
bnvboy_oncegain
Bnvboy@Oncegain :
Ramani isiyojua tuweza kuwa marafiki bila kuvuana nguo
2026-11-04 19:55:18
5
msomali.auto.elec
MSOMALI TRENDING🇸🇴 :
TEAM DIZASTA
2026-11-04 20:30:30
7
fundienzojnr
fundienzojnr :
Aliens sio hellen
2026-10-28 20:34:17
5
user3106037200598
Uzuia@255 :
Lazima ukitaka kumsikiliza Black Maladona utulie utege sikio Kwa umakini bila hivyo hutaelewa chochote
2026-10-29 19:13:50
6
harunajuma455
𝑯𝑨𝑹𝑵𝑨𝑻𝑰𝑶𝑵 ²👑2ⁿᵈMr💎P :
YAANI HIZI NGOMA HATA WASHINGTON DC ZITAPIGWA TU COZ HAKUNA WA KUGUSA MOTO HUU
2026-10-28 20:01:00
4
jack_makali
jack_makali :
Mzee kamali kabisaaaaaaa
2026-11-19 07:53:13
0
branding_prof
DESIGNER :
black Maradona 🔥🔥🔥
2026-10-28 18:20:46
3
brackmedulla8
brackmedulla728 :
nimeona macho yako
2026-10-31 18:39:33
0
akili.brain
Akili Brain :
najulikqnq street ka ticha
2026-10-28 20:50:00
3
boey_mxaf47
ɓöěŷ_mx̌åf😎47 :
🫡🫡🫡🫡🫡kuna wasanii wao alafu kuna huyu mwamba dizastavina aaaaah, huyu mwamba anajua mbaka anaboa
2026-11-03 16:12:06
1
salimukiungo
Salimu Kiungo :
hatar sana
2026-10-31 17:43:48
0
lastborn.wetu4
𝐥𝐚𝐬𝐭𝐛𝐨𝐫𝐧 🤔✌️ :
DIZASTA VINA Ni WETU ATAR
2026-11-04 01:31:11
0
aman47ninja
🇦 🇲 🇦 🇳 Æ🇵 :
2026-10-28 18:50:02
4
bigsound745
bigsound :
Oneni mzee alivyotulia apo ndo ambapo wengi wanashindwa kumuelewa mwamba maana hawawezi kutulia hvyo washazoea kukata viunoo
2026-10-30 22:12:48
0
mkisto54
mkisto :
ampigie kanisa
2026-10-29 13:50:13
0
ben90per
Ben90per Arts :
kuwa mwanaume sio jukumu ni hukumu
2026-11-02 20:03:55
0
frankmhema
FRANK :
Kama nguo hazitabadili mishono hatuwezi kuwa marafiki bila ngono nawaeleza
2026-11-04 17:32:38
0
ochu_phoebe
🐾ľà fiëra👣 :
Broski akiwa anaandika tunziii za moto 😂
2026-11-04 16:10:00
0
jitu.lakweli2
Brother :
Huyu mjamaa uwe unamsikiliza kwa kuruka ruka tu hivo hivo, 😁😁ukitulia tu kumuelewa kashaa kuteka Utakua huambiliki wala hubanduki ukisikia Jina DIZASTA
2026-11-04 09:29:30
0
peacebabillon46
AMANIZOH✌🏾😇 :
Mascullar femnist balaaa ii
2026-11-18 08:59:37
0
user213103824180
kassanu :
vip apoo mkuu atuukupe nyine pia
2026-10-29 08:21:28
0
To see more videos from user @dna_ya_dizasta_vina, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About