kuna hawa wakwetu wananyoosha halafu unatoka njee😁😁😁
2026-10-30 00:07:23
28
..✨️kïfårängå✨️.. :
Iyo haiwez kuwa mbinu kak coz kila mtu sii anajua anapiga wap corner
2026-10-30 10:35:18
8
palmer boy :
umenifunza kitu broooo
2026-10-29 09:06:23
15
aurelien :
sio kwel bhana😂😂😂
2026-10-29 14:58:16
2
Twaha/ENGINEER :
😂😂😂 hamna anaombaa samahani kama ikitokea amepiga vibaya
2026-10-30 07:26:42
4
stevi boy :
umeijulia wap
2026-10-29 10:20:33
0
rama tosha :
na nilaxima iyo
2026-11-08 09:27:22
1
Mchizi vunga 79 :
kaka we unajua ad unakela
2026-10-28 20:44:25
1
6SIX JR :
bhn akinyosha mikono miwili anamanisha moj kwa moja kama ni faul
2026-10-29 19:45:01
0
Erick Revocatus :
poa kaka nilikuwa sijui kabisa
2026-10-28 19:05:35
1
+Musiala :
eeeee sijakuona mda kaka umetisha😁😁😁😁😁😄
2026-10-29 08:06:01
1
Aimo six⛸️🥊🎤💰 :
mm nilikuw sijui
2026-10-31 17:47:19
0
muksin :
anatoa taalifa kwamba anapiga ndo maana yake awezi piga bila taalifa kwaio iyo taalifa kwamba anapiga
2026-11-02 20:55:19
0
Ndube mwamba :
unatuchukuliaje
2026-10-29 21:52:25
0
Munir Daniford2023 :
Ndio maana yake upo sahihi ni ishara kwa wenzie
2026-10-31 12:22:36
1
Oyag Tz .com :
safii
2026-10-28 19:36:34
0
TOSS :
tuko pamoja kak
2026-10-28 18:44:32
1
Tiga Papanko :
SIO KWELI.
2026-10-30 22:58:13
1
facksonLaban@🇹🇿 :
aise we ni noma
2026-10-28 20:45:04
0
ziihy khan :
wako saba
2026-11-07 09:42:42
0
Prosper_02 :
acha uongo bana[Laugh approved][Laugh approved][Laugh approved] kuna wakati anamuomba ruhusa refa ili apige huenda golini kukawa na vurugu hivyo anavyonyoosha mkono anaomba ruhusa ya kupiga na ndiomaana anaponyoosha utaskia na filimbi ikifatia kuashiria ameruhusiwa, eidha atanyoosha kuomba aset mpira ukae kwanza sehem nzuri... acha kuwafunga kamb watu[Laugh approved][Laugh approved][Laugh approved]
2026-10-29 09:52:55
2
Dogo wa TikTok :
bna iyoo ni kuonesha kama tyr mim npiga
2026-10-31 10:43:11
1
mani manito :
hay ngoja nifuatilie alaf nakurudia
2026-10-28 22:53:31
2
mr_nobody😎 :
iyo huwa anaangalia waliotaali nakuucheza ndo maana na wanasubiri kucheza muda mwingine hunyosha pia mikono kwa uelewa wangu
2026-11-19 21:43:07
0
deeas :
acha uwongo mzee ,hapo anamanisha kwamba yupo sambamba na reifa hvy yupo tayar kuupiga baada ya firimb ya refa
2026-11-09 20:21:12
0
To see more videos from user @jofrey_mgula, please go to the Tikwm
homepage.