alot of women they are single because husband's are inside prison
2026-10-28 21:04:16
4
mwana :
yarabi mungu ata wafnyia wepesi amna
2026-10-29 07:20:42
3
miss ♥️🇹🇿 :
Yaani Sisi tunawatafuta wanaume kumbe mmewaficha uk
2026-10-28 21:40:19
2
yule boi sela :
Kuna muda inabidi usaau matatizo yaliyokupeleka jela ili uishi atakama utakuwa umesingiziwa kama ujawai kwenda jela uwezi kuelewa away jamaa wanafeel vip
2026-10-29 06:00:08
3
DAMASCENE :
hio ni tanzania
2026-10-29 06:47:42
0
aysh Miloo :
kama Tz ingelikuwa ivi nisingekaaa mtaani maana kugumu kwakilakitu mpaka mapenz bas,.........nachok.....
2026-10-29 06:35:32
3
Sillah Kibegi :
hapo kuna mambo hayo ✌️
2026-10-29 10:35:09
1
Vicent Mweta :
Mungu awakumbuke ndugu.
2026-10-29 04:12:58
0
phisha philimon :
mna akili kuliko nchi zingine
2026-10-29 11:56:20
1
Mariam :
😂😂mungu awasaidie siku muwe hulu🥰🥰🥰
2026-10-28 18:55:42
4
Anitha Rafiki :
Walete na tanzania baba
2026-10-28 19:27:08
3
Kiba Matelephone :
njoo tz sasa 😂😂😂
2026-10-28 19:29:30
3
Halidi Mjanaheli :
Uyo mwenye kofia ya pama ni mimi lkn tayati nimeshatoka niko huru mtaan ila dah nitafanya juu chini nirudi tena huku sijapazoea kabisa pagumu sana😂😂
2026-10-29 06:31:52
0
Goddy Sumary :
adiraa niwafugwa lakini wanaraha jaman mungu awape furaha ivyoivyo na walinde pia
2026-10-29 06:38:30
2
Jacky dalal56 :
x wangu yuleeee na para lake
2026-10-28 20:21:38
1
I'm side :
njoo bongo sas na nikifungwa unipeleke gereza la Rwanda 🇷🇼
2026-10-29 10:21:17
1
mandonga :
vumilieni yatapita mtatoka
2026-10-29 06:00:15
2
To see more videos from user @lifelesson319, please go to the Tikwm
homepage.