@g.a_lens: Mkuu wa wilaya ya Dodoma Mhe. Jabir Shekimweri amewasisitiza wakazi wa Dodoma makulu na jirani wenye changamoto ya ardhi na changamoto zingine waweze kufika katika Kliniki kabambe iliyoandaliwa Kwa ajili ya kusikiliza na kutatua kero za wananchi. Kwa wakazi wa kata ya Dodoma Makulu kliniki hio inafanyikia katika viwanja vya shule ya msingi Dodoma makulu.
G.A_LENS
Region: TZ
Wednesday 28 October 2026 18:30:53 GMT
Music
Download
Comments
TEAMSOUND DODOMA :
mje ndachi
2026-10-29 08:50:00
0
BUNNY🖤 :
Contact zenu nitazipataje viongozi kwamaan nipo nje ya Dodoma nanina viwanja vyangu huko Dodoma naninachangamoto pia 🙏🙏🥹
2026-10-29 07:12:46
0
Mtabe :
Ni ya lini
2026-10-29 07:43:09
1
2000@ :
vikonje tunaomba maeneo yetu mliyochukua Kwa ajir ya masiloko na ikishindikana nirudishie eneo langu sq 2500 block FA plot no
2026-10-29 19:16:11
0
Mohamed Kivega :
mbuyuni huku akunamwenye hatihuku mkuu njoo naukumkuu
2026-10-29 09:46:24
0
chaupole :
Yaanii hii program taam saanaa mitano tenaa mheshimiwa hapa hati chaap
2026-10-29 13:56:16
0
💟 :
hiiniyalini jamani niende
2026-10-29 06:44:55
0
williammandia6 :
Jabir Shekimweli 🔥🔥🔥 mkuu wa wilaya makini sanaa
2026-10-29 05:23:41
0
pili shabani🩷 :
hukweli kabisa hati zinatoka haraka sana
2026-10-29 11:47:14
0
Ully machapa :
lini hiyooo
2026-10-29 12:22:35
0
Mwana Chona :
Hapo ni wapi?
2026-10-29 09:28:47
0
chaupole :
Hii clinic imeanza lini, wapi na inaisha lini
2026-10-29 13:58:29
0
Lazaro Ernest :
NJOOONI
NDACHI
NDACHI
NDACHI
2026-10-29 09:30:10
1
IA :
bonge la kiongozi
2026-10-29 03:28:34
0
StanleyMpangala :
Njoooni Ndachi, Kama mpo serious kutatua migogoro ya Ardhi
2026-10-29 09:56:22
0
To see more videos from user @g.a_lens, please go to the Tikwm
homepage.
© 2021-2026 TikWM. All rights reserved.