@omarimshairi: MECHI YA JASHO na DAMU NDO HII #cafchampionsleague #NguvuMoja #simbasportclub #TotalEnergiesCAFCL

Omari mshairi
Omari mshairi
Open In TikTok:
Region: TZ
Wednesday 28 October 2026 19:20:28 GMT
62161
2385
247
45

Music

Download

Comments

user7920295799523
user7920295799523 :
Mex bay yas
2026-10-29 06:19:04
0
minaah3723
Thrift by marther👗👚👖 :
Hiii ni nyimbo yetu tayar😂
2026-10-28 20:31:17
78
bushpaws
Bush 🐾 paws :
Hawa wanaanzaga hv hv halafu inakuja a few minutes letter tunawa zoom
2026-10-29 06:11:43
0
aminaramadhan9401
Amina ramadhan :
mimi shabiki wayanga ila simba kimataifa naikubari sana 👍👍
2026-10-29 04:42:30
51
usermt82270
usermt82270 :
Neo Maema the adidad Ammasaador gonna kill the match
2026-10-29 08:08:31
0
amani.chatila.eli
Amani Chatila eliasi :
uzuri ata sisi tunao wanao imba hizo nyimbo
2026-10-29 08:47:37
1
wakudoba.mk
wakudoba mk :
ngoj mje
2026-10-28 23:16:32
0
sophiamwalimu
soaryah tz :
tukiwafunga na hii nyimbo tunavhukua😂😂
2026-10-29 05:37:23
14
user4237183350384
haidarus🇿🇦 :
bro welcome to Tanzania like a visitor because you can't get anything from simba
2026-10-29 03:31:08
0
user302426006798
Baba Dii :
Jamani tunaletewa nyimbo nyengine uko 🤣😀🦁🦁🦁🦁🦁
2026-10-29 06:38:29
7
magreth112
Magreth :
hii aina amusha amusha Kama ya libase ila tutaluka nayo lazima waiache hii ndo Simba
2026-10-29 07:26:34
5
twende_sambamba_e
Twende_sambamba_electronics :
hpa ni kumuandaa Misso achape bit moja kaLi nyimbo ishakua yetu😂😂
2026-10-28 21:07:58
24
aminadulla0
Grn :
tukiwafunga tunaiba mpaka nyimbo yao apo wanaposema hama sisi tunasema chama mamah 😅
2026-10-28 20:32:36
13
abass.mohamedi.nap
Abass mohamedi napeche :
wanangu walunyasi mnasemaje huu Wimbo unatufaa au
2026-10-29 05:25:51
2
greyvine5
Greyvine :
Tunaeza chukua na nyimbo yao😁
2026-10-29 08:26:51
0
happy.r0mson
Happy R0mson :
leteeniiii na nyimbo bhna hii ndio simbaaa
2026-10-29 08:58:51
0
user1357945737461
user1357945737461 :
hawa jamaa wanakimbia uwanjani dk 90 Simba hachomoki anafungwa nje ndani
2026-10-29 05:57:10
1
mtumweusizaidi
Mtu Mweusi Zaidi :
tutawafunga tuchukue hizo nyimbo zao
2026-10-29 06:00:06
0
doctor_love010
DOCTOR LOVE :
WANASIMBA MUDA HUU 🤣
2026-10-28 23:33:48
0
mic_mkoyi
Mic_mkoyi@ :
vile simba wana jisikia mara baada ya kusikia wimbo huu😂😂
2026-10-28 22:14:05
0
user9288176030547
vivian :
tunawasubir na wenzao walitamba mwsho wa siku wakatuachia kawimbo.kao
2026-10-29 08:57:34
1
user31394011636667
user31394011636667 :
TUTA WAFUNGA NA HUU WIMBO TUTAUCHUKU NIPO HAPA
2026-10-29 05:17:08
4
ramadanhamd990
man structure :
oya hii nyimbo vip tuibebe au vip
2026-10-28 21:18:14
0
wilejuli
peace boy :
Mm simba lkni naona kama nafas ya nne inathusu
2026-10-29 05:15:40
1
goxxemnicolodian
khozzeenicksonity :
azam asipo fuzu hakuna team ya Tanzania ambayo itafuzu
2026-10-28 21:45:36
1
To see more videos from user @omarimshairi, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About