uckute nawao wanajua hali ya kukosi chao km sisi tu😅😅
2026-10-29 04:48:52
4
Ramaa :
Waswahili husema 'UZIMA WA PAKA SIO UBOVU WA SIMBA'. Hapa bongo Yanga kweli ime-drop lakini timu za nje zinalijua balaa lake vizuri tu. Kwahiyo hawawezi kuidharau hata kidogo.
2026-10-29 01:16:39
4
Isack Adam pgf :
mimi hawa mashabiki nimewaelewa, yanga wanaijua inaubishi wanjani, kuriko nje ya wanja
2026-10-29 04:47:13
2
haythamahmed5024 :
tunaeipenda yanga🇹🇿💚💛💛💯💯
2026-10-28 23:57:59
1
To see more videos from user @sportfixafricatv, please go to the Tikwm
homepage.