daaaah marafi zangu saba wate walipigwa risas na kufaliki siku hiyo hiyo na wengine siku iliyofuat mmetimiza mwaka Sasa mwenyezi mungu awa punguzie adhabu ya kabuli mashemeji zangu wanawakumbuka sana na watoto wenu pamoja na ndugu zenu wamewakumbuka sana niliogopa lakin nimebaki mm na roja pamoja na Joseph kweny kundi leta lakazi la watu 10 tumebaki 3 ilesiku siwez sahau mngebaki nyumban msingeenda site wakati wakulud kunashida basi mngebaki tu hom wote waliotangulia mbelezako #BABA WA MBINGUNI UWAPUNGUZIE ADHABU YA KABURI💔💔💔😭
2026-10-29 03:34:57
266
Black tea :
bro mbona tunarudishna nyuma Leo ni alhamisi
2026-10-29 04:41:22
157
Wircon Wilsoni :
hii itafunza vijana kuacha kuacha kufaata mkumbo na na kufokas na mambo yako ambapo unaweza ukakuta unaicha familia yako kwenye shida na kwa mambo unayoweza ukayaepuka kwa kutumia akili zako ila mungu azilaze loho zao mahala pepon
2026-10-29 05:20:29
56
Latty maziku :
mungu awape pumziko la milele 😭😭😭😭😭🙏🙏🙏🙏 Amina
2026-10-29 04:33:42
82
user5889346301917 :
wapumzike kwa amani
2026-10-29 04:07:33
2
P'Envol :
Rest in peace all Tanzanians who passed away 😔 🙏😢😢
2026-10-29 04:30:57
2
eddy :
RIP COMRED'S WE NEED JUSTICES TO OUR COMRED'S
2026-10-29 03:57:41
2
salagalealuto :
daaaaa mwangu saidi alikuwa anapeleka mwanae Kwa hospital amana ameshuka tu Kwa boda akapigwa risasi ila mtoto yupo hai
2026-10-29 04:30:18
57
Itc——Prezoo—MCOHAS :
May their soul rest in peace…Legends never die[Power][Power]
2026-10-29 05:53:43
2
erick PhD :
pumzika kwa Amani mama, ulikufa wewe pamoja na mtoto aliyekuwa tumboni mwako bila hatia🥹🥹🙏🏻
2026-10-29 08:52:40
33
muuntazzywazili :
pumzken salam
2026-10-29 05:02:43
2
justin maxmilian :
Raha ya milele uwape ee bwana na mwanga wa milele uwaangazie marehem wote wapumuzike kwa aman amina
2026-10-29 04:33:40
27
haroon :
Mungu aweke roho zao malipema Amina🙏🙏
2026-10-28 23:55:19
39
John Elia 45👊 :
RIP RIP RIP 💔😭
2026-10-29 04:25:28
2
mariammtale :
polen sana ila lisingefanyika lile nchi ingechafuka sana na madhara yangekua makubwa sana polen sana mlopata changamoto ila hata mm nliumia mlivyofirisi duka la dada yangu walivunja wakabeba lila kitu sasa hajakaa sawa had sasa iv maisha yamekua magum kwahiyo makosa yapo pande zote mbili machafuko yakilua makubwa na ndio maana ikawa vile ila watoto wakiume wanazaliwa weng sana
2026-10-29 04:34:23
10
KIPESE BABA💥💥 :
amina nakukumbka mwanang upunguziwe azabu yakubli
2026-10-29 00:39:44
14
The Big Master :
REST IN PEACE SOLDIERS
2026-10-29 03:49:09
5
mwamba leal estate :
Furaha ya milele uwape ebwana na mwanga wa milele uwaangazie wapum zike Kwa Amani. Amina.🙏🏾🙏🏾🙏🏾
2026-10-29 05:34:06
5
@official irina kim❤️🧢🎤# :
amen ila amani n nzr jmn polepole
2026-10-28 22:00:08
6
Cute Pachao :
eee mwenyez mungu wapumuzishe ndg zetu pema pepon
2026-10-28 22:13:26
9
surayfa :
jamnii Leo nahamu ya kupigan
2026-10-29 04:02:29
20
Stella joseph :
raha ya milele uwape ee bwana na mwanga wamilele uwaangazie ndg zetu wapumnzike kwa aman aminaa
2026-10-29 03:18:54
18
Unstoppable Joshua 4 :
Mwez. Mung aziweke mahali pema roho zao Aameeen na awahukumu wote ambao walio sababu ya kutoweka kwa roho zao Inshaallah na pia Mwez. Mungu twakuomba uzidi kutulinda na matukio mabaya hapa duniani na kesho Akhera Aaaameeeen Aaaameeeen Aaaameeeen.
2026-10-28 22:36:46
5
play boy :
@Stella joseph:raha ya milele uwape ee bwana na mwanga wamilele uwaangazie ndg zetu wapumnzike kwa aman aminaa