@sslh200: @🇺🇸leyla88🇺🇸 vunja na we’we🤣

sslh
sslh
Open In TikTok:
Region: TZ
Wednesday 28 October 2026 20:58:47 GMT
161254
2835
176
326

Music

Download

Comments

rehemarichard0
mam G🥰 :
mim najiwekea zang m wekeza najipatia zangu na faida
2026-10-31 05:15:49
17
user3756999652942lishma
Mr'sBTS :
hongera mwaya
2026-11-02 10:53:49
0
its_sagaradimpozzfoods
Sagara dimpozz :
umeeka kwa mda gani?
2026-10-29 17:56:22
12
prisca0155
prisca :
Nimehesabu ni M3 na point hongera 🙌
2026-10-29 15:48:56
9
shazia8050
shazia :
naweka zangu m pawa
2026-11-01 08:15:21
3
ummumunira1
umm munera :
Kwan zimeenda wapi
2026-11-02 10:27:14
0
officialmanka4
Officialmanka💜🔐 :
sas hapo nikiwa na shda si natoa tu
2026-10-29 18:23:31
1
user5548532286075
Princess :
Kumbe unahesabu😂😂😂
2026-10-29 17:27:45
9
da.nuu77
Da Nuu :
Me naweka kweny mgodi wala sina shengesga
2026-11-01 07:48:31
0
yunahkondegirl0
Kessy TZ46 :
milioni 3 na laki1
2026-10-29 23:12:02
3
mrs.clever19
Mrs Clever :
mm nimeweka na kuvunaa nimevuna hakuna chuma ulete wala chuma uletewe😂
2026-10-31 07:46:53
3
caroline.eugen
Caroline Eugen :
Mi nilkua naweka tena kwenye kile cha mbao na pesa zangu hazikupotea, kabla sijaweka nilkua naandika mstar wa biblia kwenye karatas natumbukiza ndo naanza kuweka buku buku zangu
2026-10-30 07:36:31
3
rainack06261
rainack :
utakuwa umesahau bwana
2026-10-30 06:08:37
1
minna9105
minna :
mi mwenyewe nilivunja kama ilo juzi 😅
2026-10-30 07:29:39
1
user4941839657606
mati :
wamekuibia wenzako
2026-11-02 03:28:05
1
cathlynvibes
Cathlyn :
Ni kama Milioni 3 na laki 3 fulani hivi
2026-10-29 18:28:06
7
symply_scola
Scola Nelson :
naomba ata aftatu😂💔
2026-10-29 10:47:16
3
joshuasarakiutu
ngoyoni 🇹🇿🇴🇲 :
Mimi ninaweka m pesa ambayo nilisahau namba ya siri
2026-10-30 06:27:15
0
doricedastani25
Dorice Dastani :
wenzangu wa utt mpo🤣
2026-10-31 22:56:05
1
babyrose350
rose :
mimi ikifika mwezi tu jamani tena nahvo chakidumu nakikanyaga tu natowa hela😂😂
2026-10-29 18:58:11
3
kadra255tz
kadira :
hongera mi nimejaribu nimeshindwa[Big LOL]
2026-10-29 19:31:51
2
jujave50
Vee🌹 :
The Displine
2026-10-29 17:29:48
3
felixbela3
Bellah🥰♎️🌸🌺 :
rfk yangu alikuwa anaweka ela kila siku elf since mwezi wa sita juzi ananipasua anakuta elf 20 tu😂😂🥺
2026-10-30 05:31:42
2
tuma.house
TUMA HOUSE :
Ahsante kwakunisanua
2026-10-29 19:38:53
1
neema.john548
Neema John :
ngoja na mimi nijaribu
2026-10-29 19:17:28
1
To see more videos from user @sslh200, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About