yure dada mkurya yure mwendesha maloli Mungu ampe pumziko jema🙏🙏🙏
2026-10-29 03:30:09
7
EZRAH SAKU NORBERT :
Mungu aseme jambo tuko tayari kusikia nakulipokea kama taifa
2026-10-29 06:43:59
3
Beatha seleman :
KAMA MIMI NIKWAANEEMA TU NIPO HAI MANAA SITO SAHAU
2026-10-29 03:47:09
1
leah mkude :
MUNGU tunakuomba watanzania wasamehe marehemu wote wa tar 29 pia wape ridhk wale walioachwa na wanaowahtaj
2026-10-29 03:44:06
3
user3785295418870 :
rahaa yamilele uwape ee bwana na mwanga wa milele uwaangazie marehem wote wa pumzike kwa aman😭😭😭😭
2026-10-28 21:07:46
2
p0d0. :
mdogo wangu katoka ndani anaenda kuoga wakampiga chuma ya kichwa asee nikipaangalia hapa njee kwetu alipo dondoka ninja langu nahis kupagawa ila freshi kila atua dua🥹🙏
2026-10-29 06:47:47
2
alexender :
mim nilinusulika hiyo siku wenda ningekuwa nimeungana na wenzang uko ila mung ni mwema, na hiyo siku ndo nilijua kumbe risasi linakwepeka tu
2026-10-29 07:06:55
1
Rey🧠 :
Allah awapunguzie adhabu ya kaburi😭
2026-10-29 03:32:17
1
Erick baraka :
mungu ana bless na tunashukuru pia kwa uwezo wa mungu thank you God
2026-10-28 21:06:17
0
upendomwainyekule3 :
inaumaaq😭😭😭
2026-10-29 11:49:08
0
Said Misago Bahavye :
kuna mjomba wangu alipigwa lisasi ya muguu mwanza mpaka sasa ni mlemavu ila walio tangulia Mungu awapumzishe kwa amani
2026-10-29 06:34:28
1
jr :
wasamehewe ata zambi zao
2026-10-29 14:19:12
0
bahatphilimon1 :
mwenyenzi mungu awaondolee adhabu ya kaburi awajalie kauli thabiti
2026-10-29 11:25:07
0
Tajiri mtoto :
wapumzike kwa amani
2026-10-29 18:27:51
0
Mage Tz💓 :
R.I.P
2026-10-29 13:46:28
0
YOSTAM :
eeeeh mwenyezi mungu zilaze pema peponi roho za ma rip wote amina
2026-10-29 18:03:05
0
Khamis Kurw :
😁😭😭😭😭😭😱😱😱😱😱 pumziken kwa aman
2026-10-29 16:29:46
0
maduskowaomary :
hatuna ujanja tn mumg atusaidie tumaliz mwaka a
salam
2026-10-29 10:31:00
0
Neyl :
pumzikeni kwa aman
2026-10-29 10:38:11
0
gift lema :
Asante Mungu
2026-11-03 17:11:39
0
Prince Julio🫅🫅😎😎 :
I will never forget this day
2026-10-29 05:08:08
1
LP :
salute
2026-10-29 11:01:57
0
Suzy beauty 💅💃 :
Mimi. nalia tu Leo😭😭😭😭
2026-10-29 11:13:49
0
Ariana :
amen jaman maaana ilikua ni hatal
2026-10-28 21:09:57
0
To see more videos from user @intelligent.man09, please go to the Tikwm
homepage.