atamwingine aje mambo yatakuwa Yale Yale.
hiyo katiba inajaa mikataba ya remera.hivyo maslai ya watusi Yako mule ndani.
pili,M23 wakati wa M.ndala walikuwa napigania nini? wali zulumiwa nini kipindi kile?
tusaidie.
2026-10-29 15:08:11
0
Lwambo Lwesso :
shukrani kwa ufafanuzi mzuri. umechambuwa vizuri bila ushabiki