ili waendelee kuharibu nchi Yani wangewaangalia tu
2026-10-29 03:00:18
5
Mama Ayaan :
Mwenyezi Mungu awape pumziko la milele 🙏🏻🙏🏻
2026-10-28 21:16:04
207
Matebe Raymond :
Raha ya milele uwape ee bwana na mwanga wa milele uwaangazie
wapumuzike Kwa amani
2026-10-28 21:17:41
107
Ms p🦋✨. :
Raha ya milele uwape Ee Bwana 💔🕊️🙏
2026-10-28 22:58:13
21
kinguluila8888 :
Zanzibar waliuawa kwenye issues hizi hizi za uchaguzi mlikuwepo Wala hamkusema chochote au sababu raisi alikuwa muumini mwenzenu acheni ubaguzi wa udini na uzanzibar,acheni uchochezi usio na maana, vurugu zilitokea na kwenye vurugu madhara lzm yatokee
2026-10-29 04:16:20
6
Alyar :
pumzikeni KWA aman ndugu zetu 😭😭😭😭😭😭serikali haram moto unakuja
2026-10-29 03:03:06
13
mvua Kali🌧️tz🇹🇿 :
iyo aituhusu
2026-10-28 23:54:24
1
Anitha andrea :
Raha ta milele uwape eee bwana na mwanga wa milele uangazie wapumzike kwa amani
2026-10-29 04:46:00
9
christinambwale :
Raha ya milele uwape ee Bwana na mwang wa milele uwaangazie wapumzike kwa amani AMINA.
2026-10-28 21:24:46
14
Luxe and Glowwen2 :
Katoliki Tanzania nzima kuna misa leo ya kuwaombea waliofariki na kuwaombea Amani wafiwa. Mungu azilaze roho za marehemu mahali pema peponi Amina
2026-10-29 02:55:41
10
ELIZABETH :
mungu wapunguzie adhabu ya kaburini
2026-10-29 08:28:50
0
Mr lonely 🙁 :
Raha ya milele uwape eeh bwanaa
2026-10-29 04:59:43
2
Constantine Mussa :
hakika hii siku haiwezi kusahaulika😓😓😓😓😓😓😓😓🫡🫡🫡🫡🫡
2026-10-29 10:16:39
1
Donath chami :
wapumzike kwa Amani 🙏🙏🙏
2026-10-29 05:26:47
1
Cred_verse :
Mungu awape rehema mashujaa wetu🙏🙏
2026-10-29 04:52:13
1
Lydia🇹🇿🇹🇿 :
daaaa kumbe wamemaliza mwaka Mungu aziokoe roho zinazoteseka toharan Amina
2026-10-29 10:34:25
1
jackline simbila :
hata wale walipolwa Mali zao na marehemu na kusababisha kuathilika kwa maumivu .
2026-10-29 02:36:05
1
jackline simbila :
hakuna dola duniani dhaifu inayokubali maandamano ya kimapinduzi, mapinduzi husabbisha hata mioyo isyo na hatia kupotea
2026-10-29 06:29:16
2
Dumange :
Daaaaaaa kaka yangu ,mjomba angu,rafiki zangu ooooooh,,,Jose,Samir,Alex wangu maumivu ni makali bora tungewazika tungekuwa tunatembelea makaburi mpaka leo tunalia
2026-10-29 03:45:56
2
patrisha :
Raha ya milele uwape eee Bwana wapumzike kwa amani🙏🙏🙏
2026-10-29 04:57:33
2
Vee store🛍️ :
Waendelee kupumzika kwa Amani pema peponi🙏
2026-10-29 05:00:47
2
mss saro :
mwenyez mungu awape pumziko ramirere
2026-10-29 05:19:58
3
Edd+255 :
Wapumzke wapendwa wetu tutawakumbuk daima😭😭
2026-10-29 06:16:15
1
Cute aylah💕💕 :
aaaaa hiii siku ataki kuiskia mimi mungu wanguuu😭😭😭
2026-10-29 04:28:36
3
simba :
nd kilicho bak sio kuingia mtaani angekuwa rais ni mwenyw ni magufuli maombi aya ya knafki yasinge kuwepo
2026-10-29 06:40:23
0
To see more videos from user @oscar_mkatoliki, please go to the Tikwm
homepage.