@manyonidctz: MADAKTARI BINGWA WAENDELEA KUTOA HUDUMA ZA KIBINGWA MANYONI Kambi ya Madaktari Bingwa katika Hospitali ya Wilaya ya Manyoni inaendelea kutoa huduma mbalimbali za kibingwa kwa wananchi, ikiwa ni sehemu ya kuimarisha upatikanaji wa huduma bora za afya. Na hapa Madaktari Bingwa wa Masikio, Pua na Koo pamoja na Daktari Bingwa wa Magonjwa ya Macho, wanaeleza kuhusu huduma wanazotoa katika kambi hiyo. Aidha, huduma nyingine zinazotolewa na madaktari bingwa ni pamoja na 🔹 Magonjwa ya Uzazi na Wanawake 🔹 Upasuaji 🔹 Magonjwa ya Ndani, yakiwemo kisukari, magonjwa ya moyo na shinikizo la damu 🔹 Kinywa na Meno 🔹 Magonjwa ya Watoto 📅 Kambi hii inaendelea hadi Oktoba 30, 2026, katika Hospitali ya Wilaya ya Manyoni na Kituo cha Afya Sanza. Wananchi wote mnakaribishwa kutumia fursa hii kupata huduma za kibingwa.

Manyonidctz
Manyonidctz
Open In TikTok:
Region: TZ
Wednesday 28 October 2026 22:32:12 GMT
208
9
0
2

Music

Download

Comments

There are no more comments for this video.
To see more videos from user @manyonidctz, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About