@buses.tz31: 😂mwendo wa ngiri mkia juuu hakuna wa kufata apa na Hakunaga aseee!!!, Katarama na Ally's bado sijaona anaebisha aseme😂 #jpmmotorbikegrouop #zhongtongmega#tiktoktanzania#fypシ゚viral #virrrrrrr @Tanzania Buses Daily

Tanzanzia bus daily fan's
Tanzanzia bus daily fan's
Open In TikTok:
Region: TZ
Wednesday 28 October 2026 22:57:19 GMT
18922
1334
51
23

Music

Download

Comments

backen.99
backen 99 :
Tangu ilo bato lipotee ata hamu ya kusafiri imepungua kabisa
2026-10-29 10:43:53
6
johnkp03
JJ :
Dpk mega meme🔥🔥🔥
2026-10-29 06:37:14
5
amosalbart202
mamadou :
hapa sauli ya mbele ilikuwa imekata tamaa majini yanakuja kwa kas
2026-11-08 18:10:19
2
user848658751142
user848658751142 :
hiii vita ilikua hatar
2026-10-30 09:28:15
1
johnson.jonalhan
Johnson jonalhan :
apo sio wameongozana kila mtyu na mchumba wake
2026-10-31 09:41:17
3
adam.90792
Be hamble :
iyo mega DPK zilikuwa za moto sanaaa
2026-10-29 15:12:20
2
anordfidelis
_Kamshange...😎 :
nnlichokikumbuka mm hapo ni hilo daraja oya dpn kdg ipitilize kwenye huo mti hapo ilizunguka na zote kisa dpk yupo mbele na tayari kama kawa wanazengo wa IT washaweka dau dpk itafutwe isitoboe mikumi😂 umeianza iyovi unaitafuta kwa masanja hapo dah ila hii ligi ilikuwa kiboko hakuna kama hii tena😅🙌🙌🙌
2026-10-29 12:09:25
1
kaldayo7
kaldayo :
nilikuwa natoka Arusha to mbeya ila nilikuwa naenda dar kupanda New force tena zile zenye pretnumber dpk nikikosa bx DMG alafu nakuta bato la New force saury na majinjah ah ah ah 🤣🤣🙆🔥🔥🔥🔥 ilo New force 712 kitonga likua anafngua turn🔥
2026-10-29 11:00:12
2
husseintanga2
HUSSEIN TANGA :
hii sio yakufwata ni ligi ya watu wa zima hakuna d14 apo happy nation SAULI ney foce aris 😂😂
2026-10-29 18:17:49
0
samu777777776
SAMU 7777777 :
wanaumewalikuwa Hawa cyo sasahivi mnasifia katarama hakunakitu wanawezakufikia huumoto sauli stoliayake hakuna wakuikuwa walakufuta
2026-10-29 12:27:14
0
bonymbilinyi
bonymbilinyi :
hili bato haliji kurudia
2026-11-04 10:49:43
1
hekimawcbdamu
Hekima highland motors 🔥 :
Ilikua ni vita ya Gemilang vs climber,,,lakin kilimba umeme haikufua dafu,,mchina akarudi kiwandani aka upgrade ile kilimba 711 Dpk akaja na Mega Series ya DZU lakin alikandwa vilele na DTF mjeshi,DRH 300 Mbeya boy,,Alafu DPN iache iendee,, baadae mwisho kabsa tukaja na DXE Slow poison hakuna wa kuvunja recod ya DXE😅😅😅😅 aisee scania kweli kizazi jeur,,Nataman siku zirud nyumaa 😅😅😅😅daaah kuna
2026-11-01 16:43:11
1
juniormbaga
JR mbaga :
hiyo time table ya saa 12 ilikiwa moto sana hapo kituo uyole wembley
2026-11-01 17:44:01
1
isayakyando77
Isaya Kyando :
ila Io Kona ya darajani imeangusha magalimengi sana hasa wanangu wa fuso nyanya na wale wa mafinga mbao duuuu
2026-11-02 19:37:53
1
mudikamote
kamotetz :
hiyo ligi ilikua ya moto mno🔥
2026-10-31 06:45:57
1
kiba.jr56
Kib@ jr :
katarama na ally,s bado sana kwa kipindi hicho mbeya ukitaka uwahi panda sauli na new force Tena new force upande dpk ni maendo wa ngiri mkia juu😂😂😂
2026-10-30 17:51:14
1
prince001405
Prince001 :
mtu kati 😂😂😂
2026-11-01 18:51:26
1
suimlozi
sports :
balaa sio poa ilo
2026-10-29 15:56:18
1
ezemanyota
Eze💢 :
mtu kat
2026-10-29 19:52:02
0
n.u.e.l.k.i.d.y
N.u.e.l.k.i.d.y🇰🇪 :
sukari za mbeya enzi izoooo
2026-11-03 07:24:11
0
wise.man733
WISE MAN :
ewaaaa🔥🔥🔥🔥
2026-10-30 11:35:08
0
aacidmwalingo
Acid Mwalingo :
unyaama sana
2026-10-30 02:56:36
0
charles.lusekelo5
Charles Lusekelo :
ligi pendwa kuwahi kutokea nyanda zajuu
2026-11-01 15:25:04
0
rizzyonewhizzyboy
whizzyboy@rizzy1 :
hiiiii rigi tamu sana
2026-10-29 07:40:46
0
To see more videos from user @buses.tz31, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About