Mimi naona yote hayo ilikua ili unabii utimie, maana kusulubiwa kwa Yesu ni unabii ambao ulitabiriwa tangu enzi za nabii isaya, nabii yeremea na wengine, na bila Yesu kusulubiwa sisi tusingepata ukombozi. Kwa io ilikua lazima iwe hivyo.
2026-10-29 13:38:14
1
Papii Kambale :
Je samahani, nauliza Yesus asingesurubiwa tunge okolewaje, Pilato asingetoa ruhusa ya ukimya wake tunge okolewaje. ni swali tuu nijue.
2026-10-29 06:02:48
1
Lucy Mwende :
Absolutely Amen Amen
2026-11-12 13:09:12
0
c.j mkatoliki :
amen 🙏🙏🙏 kuanzia Leo nabadilika ubarikiwe😂😂
2026-10-30 09:01:40
0
sudi lewa :
Greate 👍👍👍
2026-10-29 22:33:00
0
junior emanuel :
kosa lake nini asa asingewaluhusu wamuadhibu tungekombolewa vipi bila damu ya yesu
2026-10-29 19:19:32
0
kibiwottkigen385 :
Amen
2026-11-23 07:41:38
0
Joseph Mpunga :
amen kubwa
2026-10-29 13:53:22
0
merry Paul :
ameen🙏🙏 stakubali niikose mbingu kwa sababu yakuogopa kupotelewa na ki2 au vyi2 ee mungu nisaidie niseme ukweli mbele zako
2026-10-30 13:11:57
0
MUNGU Pamoja nasi🧠 :
for prayers
2026-10-29 01:43:36
0
dadaj🌹🥀 :
amina
2026-10-29 15:06:14
0
omraydaily@fearofGod :
lakin yesu alikuja dunian kwa kusud hilo
2026-11-19 17:16:32
0
Saviour Salvatory :
Amen
2026-10-29 05:41:00
0
Mark Benjamin :
amen
2026-10-30 16:53:21
0
Mungai SON OF NEW LIFE :
amen
2026-10-30 05:23:03
0
Daniel Nyahenge :
amina
2026-11-01 13:07:42
0
Sunshine Kenny mwaisango :
Amen
2026-11-04 07:56:48
0
wilbartndimbo :
amen
2026-10-30 09:08:57
0
vaileth's fashionfix 👗 👡 :
amen
2026-10-29 04:35:56
0
iliver :
Kwanza kabisa pilato ni cheo sio jina la mtu pili,,,,alitakiwa pilato atoe hukumu ili mimi naww tuokolewe asingeweza kukataa kwasabb ulikuwa mpango wa Mungu ndo maana hata petro alipo taka kuzuia Yesu alimkemea kuwa rudi nyuma ewe shetani ili atimize kilicho mleta duniani hata Yuda pia kumsaliti Yesu ni njia tu ya kuufikia msalaba ni Mungu aliyapanga🙏
2026-10-29 07:02:05
0
Martin G Light :
Yesu alistahili kufa
2026-11-04 09:40:47
0
Capt Komba Jr :
Bro unajua Mbingu ikiandika lazima litimie?
2026-10-29 18:04:03
0
To see more videos from user @mungu.kwanza050, please go to the Tikwm
homepage.