mungu wetu mjawa na lehema wasamehee dhambi zao vijana wako walale pema Pepon
2026-10-29 05:48:57
9
masanjajuma08 :
naikewezekana mungu aagamize ote walio uwa dungu zetu bila hatia
2026-10-29 05:38:46
6
Joseph William :
kuna wapumbavu wapo humu wanazidi kuwatuhumu waliokufa walitaka kupindua nchi vip kuhusu ambao hawakuwa na hatia acheni wenye ndg zao waomboleze kama nyinyi hamkupoteza kitu basi mshukuruni mungu wenu ila ukwel utabaki pale pale taifa ni la kwetu na watanzania walopoteza maisha ni ndugu zetu haijalishi walikosea ama hawakukosea ila ni damu ya tanzania na uzao wao bado upo tanzania PUMZIKENI KWA AMANI ndugu zetu😥😥😥😥😥
2026-10-29 11:37:55
3
richardgelar1 :
Inauma sana Bila wew Mungu sisi hatuwezi
2026-10-29 07:42:05
7
Yuster Anyandwile :
mungu alaze loho zao mahali pema peponi
2026-10-29 13:04:53
2
mama j love ❤️🫂 :
inauma snaaa😭😭😭
2026-10-29 08:49:32
1
Mwajei Ngalimda :
mungu awapumzishe kwa amani
2026-10-29 14:17:09
1
zubedasaidi700 :
eee mwenyezi mungu uwakumbuke katika ufalme wako wa milele tumaomba na kushukuru AIMENI
2026-10-29 13:50:33
1
Vaileth Nambuyu :
mwanga wa milele uwangazie wapumnzike amani eebwana
2026-10-29 13:00:29
1
mis_rose :
Raha ya milele uwape marehemu wote waliotangulia mbele za haki na mwanga wa milele uwaangazie wapumnzike kwa amani Amen 🙏🙏
2026-10-29 12:53:45
1
Tina mnangwa :
mungu bila ww Sisi s ktu, wapumzike kwa aman
2026-10-29 08:42:58
1
𝐌𝐖𝐋- 𝐌𝐂𝐌𝐀𝐓A𝐑𝐀 :
DAIMA TUNAWAKUMBUKA MASHUJAA WETU WA TANGANYIKA 💪🫂
2026-10-29 13:27:10
1
linah :
wapumzike Kwa Amani 😭😭😭😭😭😭
2026-10-29 07:46:35
1
sham home collection :
tunawakumbuka daima
2026-10-29 11:13:22
1
benzemasadi :
R.I.P mashujaa
2026-10-29 07:31:14
1
qeen p :
raha ya milele uwape ee bwana
2026-10-29 08:51:37
1
denis asnaly :
Tutawakumbuka daima Mungu awalaze pema peponi aamin
2026-10-29 11:10:01
4
Neema Sinduka :
baba fariji kila aliepoteza ndg yake ile siku ya maandamano
2026-10-29 11:57:21
1
sade TZ🇹🇿🕰️ :
mungu walaze kadokado yamajani mabichi ndgu zetu🙏🙏🙏
2026-10-29 10:29:45
2
To see more videos from user @ukerewe_, please go to the Tikwm
homepage.