@nyandamasibuka7: Hizi ni dalili nzuri sana za ukuuaji, baada ya miezi miwili mtoto huanza kunyanyua kichwa chake mwenyewe #tanzaniantiktok🇹🇿 #congo #congo

Dr masibuka
Dr masibuka
Open In TikTok:
Region: TZ
Thursday 29 October 2026 04:39:57 GMT
36076
1150
41
49

Music

Download

Comments

mary.jr278
🦋Mary Jr💞🦋 :
Mbn Wangu Ana Two weeks Na ananguvu ananyanyua kichwa na anageza shingo akilala
2026-10-29 17:09:05
2
user74623827835726
Jesca wa Moses :
wangu wiki mbili kafanya hivyo mpaka nikashtuka sasahv anasogea kdg wiki 6
2026-11-01 05:46:54
1
kipalo36
kipalo :
Na kama akiwa na movement kama hizo wa wiki mbili je ni Sahihi?
2026-10-31 17:42:11
1
zalne29
zalne :
wangu anafanya hivi na leo ndo kamaliza mwezi yaani anafanya hivyo mapka anahama sehemu ninayokuwa nimemlaza
2026-10-29 20:13:28
1
bebyenah002
bebyenah :
doctor wangu yuko miezi 4 hajakaa vzr anataka kutambaa je ni normal
2026-10-29 14:03:25
1
paschalin.juma
Paschalin Juma :
analazw kwa tumbo akiw na mda gaan Wang ndo anamwez na week 3
2026-10-29 10:44:43
1
user30762657621284
Shania :
wangu Ako wiki tatu naafanya hizo zote
2026-10-29 05:15:16
1
efrosinamsungu746
Efrosina Msungu :
ipo huku jaman hamna kumsogelea ni mateke tuuu 🙏🙏🙏🙏
2026-10-30 20:06:15
0
shemsa.khamid5
Shemsa Khamid :
Wang Nd kwnz an wik 3 MashaAllh lkn an nyanyuw kichw n kuanz kujigeuz
2026-10-31 06:03:58
0
keitaiddy
kkkkk :
ili kweli,mimi wangu wa mwezi 1 karibu nanusu nikimulaza tumbo nakutana sio penye yupo,anazunguruka nihatari
2026-10-31 13:41:10
0
user6847133905488
edina :
na mtoto wangu mdogo ana mwaka na miezi nne atembei itakuwa shida nn eti
2026-10-30 18:29:34
0
nelia.sampamba
Nelia Sampamba :
wakwangu anatumia makalio hataki kukaa kabisa
2026-10-30 14:05:54
0
amylicious17
amydamohamed :
Sa mbona wangu yuko n wiki 6 anafanya hvyo yan hadi anageuka kabisa ukimalizia tumbo
2026-10-30 17:04:47
0
itssadahb
it's sadahb :
amem mungu akulinde baby
2026-10-31 23:33:57
0
belindageofrey650
Belinder :
docta mtoto anaona akiw n mda gani wangu anamwez2 na week mjo ila bado aoni
2026-10-30 13:44:33
0
marywainaina1586
mary nonini :
uongo
2026-10-30 14:57:59
0
amina.khatibu63
Amina khatibu :
mtoto wang ana hii tabia
2026-10-30 15:00:22
0
gracebenedctor8
Grace Benedctor :
na kuanza kutoa saut kam za kuongea
2026-10-29 07:16:55
0
m0mo.0zil
M0mo h@itham💞🥰 :
shingo ikiwa ajakaza ya mtot shida nini
2026-11-02 06:51:26
0
bebdel00
Nyambs⭐✨⭐♥️ :
wangu ako 2weeks na ananyanyua kichwa October babies jameni
2026-10-30 02:15:44
0
user4355039288410
Nanzalia254 :
wangu alianza kugeuka akiwa 2 weeks
2026-10-30 10:19:30
0
plecious2
plecious :
me wangu ana toka ana wiki anageuka mwenyewe
2026-10-30 10:02:20
0
roserosert0
Rose felix myinga :
mwanangu alikuwa hivo mwezi mmoja
2026-10-30 08:42:32
0
__muubby__1
Muuh🌹 :
Doctor nisaidie dawa nzur ya mafua mtoto miez 3
2026-10-30 13:04:19
0
sharoningefu5
sharon ingefu :
🤣😂😂 ako swa
2026-10-29 08:33:39
0
To see more videos from user @nyandamasibuka7, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About