@tescoltz: Kutoka kwa Dada wa Taifa 🇹🇿🇹🇿 #mangekimambi #tanzaniantiktok🇹🇿 #kenyantiktok🇰🇪 #chadema

tescoltz
tescoltz
Open In TikTok:
Region: TZ
Thursday 29 October 2026 04:45:53 GMT
160481
12656
551
230

Music

Download

Comments

dee_me_9ce
dee_me😎 :
mamaa amka amka twende nyumban🥺🥺 rest easy mama, Allah atalipa yote naamin
2026-10-29 09:03:21
123
dickneykhan6
dickneykhan7 :
Kwa ajili ya mateso makali ya bwana wetu Yesu Kristo
2026-10-29 06:33:13
256
neemalyimo7
Neema lyimo :
Watanzania wenzetu waliotangulia mbele za haki wapumzike kwa amani 😭😭😭
2026-10-29 05:11:51
366
annakuraya7
pretty 😍🦋 :
roho za marehemu wapate rehema kwa mungu wapumzike kwa amani
2026-10-29 07:02:59
135
seciliabeautypointsalon
secilia beauty point salon :
😭😭😭😭baba yangu ulale pema pepon 😭😭😭😭😭😭
2026-10-29 06:27:38
62
maryvenance26
maryvenance26 :
dah,nimemkumbuka kaka yangu mungu wangu
2026-10-29 05:44:17
89
salemclean
salemclean :
Imagine watu 500+ eti nchi Ipo kimya 😭😭😭
2026-10-29 06:52:42
69
lawrencemushi0
LAWRENCE Mushi :
RIP watanzania wenzetu😭😭
2026-10-29 05:20:57
61
daniel.mwakitalim0
Daniel Mwakitalima :
bwana alitoa,na bwana alitwaa,,jina lake lihimidiwe,,,,AMEN
2026-10-29 06:47:40
43
agnesmdee7
agnesmdee7 :
imani yetu hatuombei Marehemu ila tunahuzunika pamoja.
2026-10-29 06:02:53
53
bintirahma23
Badgal_energy 🦋🐻🌼♍️ :
Mama angu alipigwa risasa Namshukuru mungu bado yupo hai 🙏🏻😩
2026-10-29 06:58:51
48
philipomabula315
ngoshamusic2 :
katholiki tumsifu yesu kristo 🙏🏾
2026-10-29 12:35:47
11
pabhulosi.mwasagha
PABHULOSI MWASAGHA :
GONNA BUT NEVER FORGOTTON
2026-10-29 14:33:12
0
miriam_sweetie
MIRIAM 🥰 🇹🇿🇹🇿🇨🇩🇨🇩🇨🇩 :
🥲🥲🥲🥲mimi nilikoswa koswa nilikua na dada ang tulienda kutafuta bonga
2026-10-29 05:59:34
27
latty.maziku
Latty maziku :
mungu awape pumziko la milele ndugu zetu wote 😭😭😭😭😭😭😭😭🙏🙏
2026-10-29 06:03:57
23
guramali.abbas
Guramali Abbas :
Nalia na Tanganyika yangu 😭
2026-10-29 06:01:33
15
dreamergal2
Miss miles😘😘 :
na kuna mtu ataona hii kesho ilaaa😳😳😳😳
2026-10-29 06:07:35
7
user6124355679983
JACOBO NSNZA :
me siikubali serkali yetu ata kdg wauwaji wakubwa ndugu yangu alikufa kwa ajili yao na sijajua wamemzika wapi lei hii serkali inachekelea tu uzr hakuna anae ijua kesho yake kwann mungu alimchukua magufuli mapema jaman duu!
2026-10-29 07:49:10
5
user1524048142015
Ms D🥰🔐 :
nakumbuka kaka anguu mm 😭😭😭
2026-10-29 07:20:48
16
neemanoel4
Official Baby Ney :
Kiukweli inauma sana
2026-10-29 06:27:07
11
waziridecorations
king 👑 deco :
mungu awatangulie ndugu zetu waliotutangulia
2026-10-29 05:28:57
19
neemamollel2
Neema mollel :
R.i.p waliouwawa wooote bila hatia .naamini damu yao aitanyamanza Kwa yeyeote alieusika💔💔💔💔💔
2026-10-29 06:08:29
14
user5396967241706
user5396967241706 :
mungu atalipa tu
2026-10-29 06:13:16
9
To see more videos from user @tescoltz, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About