@jejeuk7: TANGANYIKA MPYA INAKUJA

osint_tanzania
osint_tanzania
Open In TikTok:
Region: TZ
Thursday 29 October 2026 05:10:16 GMT
173919
10023
463
260

Music

Download

Comments

dickneykhan6
dickneykhan7 :
Kwa ajili ya mateso makali ya bwana wetu Yesu Kristo
2026-10-29 06:33:58
214
cemygal
Ladykey 🌹📖 :
Ndio mna nashangaaa mbona police road kumbe tarehe 29 leo
2026-10-29 06:42:47
145
neymimi2
ney🌹🦋 :
uwiiiiiii😭😭😭😭😭mnasema kisasi atalipa MUNGU lini sasa na wauwaji bado wanapumua
2026-10-29 06:06:51
62
mvpluther27
Mvp Luther Decorations :
Tuzidi kuwaombea na kuwakumbuka mashujaaa walio tangulia mbele ya haki October 29
2026-10-29 05:45:12
341
qnaira.224
IamNairah224🐍 :
Kwan mpo wap mbn kwetu shwari
2026-10-29 06:56:09
15
black..heart43
𝑺𝒂𝒅 𝑾𝒐𝒓𝒍𝒅 ...🖤 :
mwaka Jana hii
2026-10-29 06:21:32
12
aden.vales
Pacific 🌊 :
We are expecting a good future and in the will of God Tanzania shall arise newly 🛫🇹🇿✊
2026-10-29 07:23:48
0
lizzie.lizzy47
nobody :
like day of today
2026-10-29 07:40:53
0
user8075915904090
Mr kb :
nashindwa kuwaeelewaa
2026-10-29 06:30:14
5
damianeche255
Cheng' Master :
Dodoma ipo wakuu, au ni last year
2026-10-29 07:43:06
10
geogre.moleli
GEOGRE MOLELI :
Mungu azilaze roo za wapendwa wetu mahala. pema peponi Amen
2026-10-29 06:16:48
12
wilhelm698
enyavura🥹🥹 :
Mwaka gani hii?
2026-10-29 06:49:36
5
emoura.jihan.queen
Its.miss🇺🇸🇹🇿 :
shida ni nin guys mkuje nisaidia nielewe😳
2026-10-29 06:21:44
8
songea.girl7
Songea Girl :
kuna nini tena jaman? mwarabu nae kanibana sana hadi sielewi kinachoendelea nchini kwangu khaa😥😥😥😥
2026-10-29 08:05:42
4
edyh016
Edyh :
hyo lini
2026-10-29 08:47:20
0
neema07888
Official_PrincessNey✅ :
Iyo lini hiyo
2026-10-29 05:55:17
7
26valentina8
Capricorn 🦉✝️ :
we can't forget
2026-10-29 08:16:11
0
tonnyb109
my name20 :
eti uchaguzi uchaguzi gani kwa hali hii mmeua mmekalia viti 😭
2026-10-29 06:52:01
4
masanjaabson817
LastBorn_Hustler 🔥 :
29 Rest Easy Ndugu Zetu😰
2026-10-29 06:30:07
5
nasra_mushi
Naah12 :
Dar ipi hio 😂
2026-10-29 06:17:19
8
husseinbenson
UFO :
haiji kutokea hali kama hii mpaka dunia inafika mwisho wanaharakati mnapoteza muda
2026-10-29 05:48:59
15
zuu.chibeby
zuu chibeby :
mwanza hilikua kiboko
2026-10-29 05:49:20
15
barakajosephat725
Baraka Josephat :
apo nikupoteza time tu yaan wao wanawaangalia tyu
2026-10-29 05:55:47
7
user17961940697237
roselipalapi❤️‍🔥🐅 :
r i p marehemu wote waliouwawa siku ya leo kuanzia majira ya saa sita mchana na kuendelea😭😭😭
2026-10-29 06:08:58
5
mrs.aruminiamu
ester samweli♥️🥰 :
iyo lini hiyo☺️🤣🤣
2026-10-29 08:24:50
2
To see more videos from user @jejeuk7, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About