@user2288914012285frank: nasi tz tupate road kama hii

FSB
FSB
Open In TikTok:
Region: TZ
Thursday 29 October 2026 05:13:42 GMT
24416
1094
206
76

Music

Download

Comments

wwe.tiktok.comwwsaisai31
BUDA masai :
bora wakoroni kuliko CCM
2026-10-29 11:20:27
46
peggymugala0
Lizzy Mgallah :
Kitwe to ndora
2026-10-29 13:12:28
1
claudy.jayson
CLAUDY JAYSON :
duu true
2026-10-29 14:14:30
0
osmanjayjr
wallecy🦁 :
changamoto tulionao tz ni ufisadi. kama watu wengekua awajilimbikizii Mali tungekua na Barabara nzr sana na kubwa. lkn cha masikitiko Barabara kubwa inaishia kibaha maili Moja kutoka kibaha kwenda mbele mungu pekee ndo anasaidia . cjui ofc ya rais Haina washauli wazuri. inauma sana
2026-10-29 12:04:50
7
syrivestre
sylvester :
Sisi serikali ipo tayari kutumia fedha nyingi kwenye uchaguzi ili wabakie madarakani lakn kwenye maendeleo wanagusa gusa tu halafu na kusifiana badala wapambanie maendeleo ya nchi maendeleo ya kisasa
2026-10-29 13:40:06
11
kelvinsanga217
Kelvin Sanga :
barabara ya mbeya2 wameshindwa kabisa kodi zinapigwa2 kule zinabondwa
2026-10-29 20:16:24
1
user7162530950359
[email protected] :
Siku mtaondoa CCM uongozini mtakua mmepiga hatua kubwa sana
2026-10-29 13:46:50
6
ponsianomahenge
katoto kadog :
ela za watu sio maendeleo 😁😁😁
2026-10-29 08:43:20
3
____dingo
lorch♡♤ :
sisi tunatengeneza ili tutengeneze tena na tena
2026-10-29 16:16:07
3
bulldozer_tz
BULLDOZER :
Inchi ni tajiri ina weza kujenga kote kabisa na ajari zitaisha.
2026-10-29 10:24:05
5
speech19605
19605 :
93 pia umewapendele
2026-10-29 16:30:45
1
mussakimaro297
Mussa :
HII NCHI IUZWE TU TUEPEWE HELA ZETU
2026-10-29 13:21:24
0
madam_mamaza
Madam_mamaza :
ongea son ,ccm tu
2026-10-29 16:16:24
1
starraphaelm
raphael Jr-15🇹🇿🇿🇲 :
Bro sio kote bwana
2026-10-29 11:53:59
0
user80520936274830
jonte :
ubinafsi waviongoz
2026-10-29 09:55:00
5
syuczzg537
MASKINI HANA AHADI :
kiuchumi sio kweli, au una maan gan ukisema uchumi
2026-10-29 13:47:29
0
x6caraccessories
X6 Automotive Solution :
hatuna viongozi sisi
2026-10-29 11:13:06
3
user936722425311
Kalamazoo :
ata Kenya pia wajifunze na hii Barbara
2026-10-29 13:19:55
0
kalian360
mawio🌄🌇 :
kak hao waupande wapili hawakufikii 😂🙆🏾‍♂️
2026-10-29 14:35:37
0
user9351883199459
zamadam :
shida urafi nawizi umewajaaa kuongoza nikipaji mzee
2026-10-29 11:01:49
2
sostentulian
sostentulian :
Icho kitu kilinishangaza sana zambia
2026-10-29 14:11:12
2
user4182315302426
rikas mbinga :
kwa nini 1993 ndonazaliwa mm kwa nini🤣🤣🤣
2026-10-29 15:52:39
1
hancyramadhanikis2
HANCY (R) KISHIMBA :
Wanawaza kuiba tuu nakutengeneza njia kila mwaka wachukue % Yao
2026-10-29 10:33:47
3
mathayo.sarapo
Mathayo Sarapo :
shida yetu ni upugaji wa ccm yenye majizi kila kona ccm koloni kubwa kuliko yeyote iliowahi kuwepo
2026-10-29 11:29:05
1
dansan3255
dansan3 :
tuko busy na bilion ni mia saba 730 yaelimino kukabiliana nayo
2026-10-29 13:49:06
0
To see more videos from user @user2288914012285frank, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About