@012345m8: Tamko la imani la kila siku Leo ninajikumbusha kwamba mimi ni wa thamani machoni pa Mungu. Kukataliwa na watu hakufuti thamani yangu. Sitajidharau wala kukata tamaa. Nitaendelea kuomba, kufanya kazi kwa bidii, kutembea katika hekima na kuamini uongozi wa Mungu. Mungu anisaidie kupata kibali katika milango iliyo mema kwangu, na anifundishe kuwa baraka kwa wengine. Amina.🙌🏽 #mwakasegeteachings #mafundishoyanenolamungu #mwakasege #KibalichaMungu #viraltiktok