@allanwalestz: CHISTMAS NI UONGO NA USHAHIDI HUU HAPA Mwj. Allan Wales (+255) 0710679104

Mwj. Allan Wales
Mwj. Allan Wales
Open In TikTok:
Region: TZ
Thursday 29 October 2026 05:39:19 GMT
81257
5160
713
2270

Music

Download

Comments

kinghappy715
👑 king operator 👑🐦‍🔥 :
karibu katika uislamu dini ya hakki
2026-10-30 07:08:05
12
ester.hangi
Ester Hangi :
wasabato hatusherekei hio siku
2026-10-29 06:20:26
57
grace.wanyoike66
Grace Wanyoike :
that's true tell them
2026-10-30 18:11:19
0
user2058184381139
Mira :
the same way we take holy communion as a symbol its the same was we celebrate Jesus birth and not because he was born on that day
2026-10-29 08:00:18
5
alphonaa
alphona :
wasabato hilo tunalijua hatusheherekei hiyo nakanisani inafundishwa happy preparation day my fellow seventh day
2026-10-30 10:46:05
3
prs_sdm
prs :
Hatusherekei siku, tunasherekea kuzaliwa kwa yesu kristo
2026-10-29 06:22:05
21
gabotz27
Gabriel Pius :
Wakolosai 2 16 Basi, mtu asiwahukumu ninyi katika vyakula au vinywaji, au kwa sababu ya sikukuu au mwandamo wa mwezi, au sabato;
2026-10-29 06:36:18
53
beatriceyae
BeatriceYae :
Ukituletea taarifa utuleteee na majibu haya YESU WETU ALIZALIWA lini Mtumishi wa Mungu tuanze kusherekea siku yetu …. KWA USAHIHI KUTUACHA NA MASWALI NDO HATUTAKI SASA
2026-10-29 09:26:51
13
agnesndunge812
[email protected] :
hiii n ukweli ksbisa n even jesus was not born on 25th December
2026-10-30 04:45:38
0
sisters5511
Omee :
Na Juma piliii sio siku ya sabato sublimely waaambieee hilooo jumapili nisiku ya kwanzaaaa ya jumaaaa
2026-10-29 09:24:10
11
floxwhite_
Floxwhite🈹️ :
1. Asili ya Tarehe 25 Desemba Ibada ya Mungu Jua: Kabla ya kuanzishwa kwa Krismasi, wapagani wa Dola ya Kiroma walikuwa wakisherehekea sikukuu za Saturnalia na Brumalia mwishoni mwa mwezi Desemba. Sherehe hizi zilikuwa za kuabudu miungu ya kipagani kama vile mungu jua (Sol Invictus). Uamuzi wa Kanisa la Kale: Mnamo karne ya nne (karibu mwaka 350 Baada ya Kristo), viongozi wa Kanisa chini ya Papa Julius I walichagua tarehe 25 Desemba kuwa siku ya kuadhimisha kuzaliwa kwa Yesu. Lengo kuu lilikuwa ni "kuchukua" sherehe hiyo ya kipagani na kuigeuza kuwa ya Kikristo ili iwe rahisi kuwavuta wapagani wengi kuingia kwenye Ukristo.
2026-10-29 07:08:00
12
asekaainea
asekaainea :
mwaka WA sita ya mimba ya Elizabeth siyo ya miriam
2026-10-29 08:00:48
7
colidya
C.E.O COLIDYA :
umeongea point Na ukweli mtupu. hakika umeijua kweli.
2026-10-29 08:47:29
22
user6068614486916
Simon usingi :
thafathali soma hiyo chapter nzima
2026-10-29 16:52:17
1
3000mwinjilisti
Mwinjilisti Mwamwezi :
Mimi kwa uelewa wangu katika kuisoma Biblia kwanza katika Luka 1:26 haizungumzii kuwa mwezi wa sita ndiyo mwezi ambao Mariamu alipata mimba
2026-10-29 20:55:13
6
user2183159331405
[email protected] :
upo sahihi pastor 🙏🏼🙏🏼🙏🏼🙏🏼
2026-10-29 06:00:04
8
dauson.sanze
Dauson Sanze :
Be Blessed brother
2026-10-30 08:06:54
1
user8702310533258
seigneur Jésus-Christ :
Amina
2026-10-29 06:09:31
4
hussen2995
hussen💪 :
endelea kujifunza na kusoma maan yapo mengi sana ila usiogope kuja kwenye din ya haki Islam Allah azidi kuongoza
2026-10-30 07:01:07
6
dachrfra
DavidChristophe :
Wasabato wengi hawaijui krismas
2026-10-29 10:48:28
5
minster.maina.mwau
Minister Josh ✝️✝️📖📖✝️✝️ :
People celebrate Christmas coz they know one day Jesus Christ was born but not because it was exact day.
2026-10-29 12:30:48
7
building...in...christ
YUX BC :
sio kwenda kuzimu tunakwenda kuzimu
2026-10-29 07:40:14
6
sabramohamed72
sabramohamed72 :
kuutetea ukristo kuna kaz☺️
2026-10-29 17:44:32
6
user2655280581077
Janeth 🥰🥰 :
Yaan umenifungua macho 😳😳
2026-10-29 07:13:26
7
adamelfazi
Adam Elfazi :
Amen mtumishi wa Mungu ubarkiwe sana
2026-10-29 05:52:42
6
To see more videos from user @allanwalestz, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About