Mimi Tayri halafu naona hata baadhi ya viongozi wa dini wanajua kweli sema tu wanajizima data mambo yao yaende
2026-10-29 07:35:05
1
petrmarko478 :
saaaafi sana
2026-10-29 17:43:44
0
kurimember :
nakubali😂😂
2026-10-29 17:35:49
0
guysonlawrence1 :
tatizo tumesizishwa ubongo
2026-10-29 09:00:31
0
Abdallahissa Ndalitaye :
kazi ipo asaivi kila mtu anatoa mawazo yake
2026-10-29 13:15:29
0
faiza :
naomba kujiunga kwenye group lako kipenzi
2026-10-29 07:51:20
0
JACKSON MUMBI :
wake up mtu mweusi💪
2026-10-29 07:14:27
0
Final Say :
Inaonyesha ni mwanamke mwelewa sana kumbe nitaowa cku moja nilifikiri mmeisha🥰🥰🥰
2026-10-29 10:07:38
0
Mkemia Official :
Kama unaweza hadi kujua siku yako ya kifo kwa nini hao walio amua kuishi kwenye mfumo huo hawawezi kukwepa kifo? Si wanajua siku zao za kufa na watakufaje basi wakwepe kifo
2026-10-29 10:10:31
1
miraji mohammed :
dini niutumwa
uliobak Africa
ambao tunauendleza
wafrica wenyewe
2026-10-29 12:02:12
0
offisho yeye :
kama huna d mbili huwezi elewa
2026-10-29 17:04:28
0
🇹🇿 :
😁😁😁
2026-10-29 07:08:16
0
To see more videos from user @hmahalu, please go to the Tikwm
homepage.