@manyanda_billionaire1: #creatorsearchinsights #oman🇴🇲 #australia🇦🇺 #kenyantiktok🇰🇪 #england🇬🇧 Kama Nyumba unayo ishi au OFISINI kwako kuna MIJUSI basi juwa matatizo uliyo nayo chanzo ni iyo MIJUSI.

MANYANDA THE AFRICANS POWERS
MANYANDA THE AFRICANS POWERS
Open In TikTok:
Region: TZ
Thursday 29 October 2026 05:48:29 GMT
48093
1870
83
179

Music

Download

Comments

naa.cute873
naa🖤 :
me nawauwa wamepotea😂😂
2026-11-18 11:39:59
0
shafiisalum45
Shafii Broken :
cku hz tiktok mmekuwa kuwa mungu watu
2026-10-30 10:25:13
2
edithaitanisa
edithaitanisa :
tupe maarifa tufanyeje
2026-11-20 05:43:56
0
halimacharles275
Halima Charles :
kaka nisaidie mayanda reo nimena muchusi mukubwa nifayeje iri atake nisaidie kaka
2026-11-20 15:46:21
0
eishamzirai
Eisha Mzirai :
nifanyeje
2026-11-19 18:23:36
0
user12566140056006
niganile :
kaka mm nisaidie kweli kabisa kwangu wengi minusi
2026-11-19 20:29:44
0
joymaina05
user5255689728547joy :
Mimi wanakimbia ukutani kwa kazi yangu
2026-11-19 17:53:10
0
lucynyaguthii630gmail.c1
lucynyaguthii6 :
what's the way forward
2026-10-30 15:36:23
1
ngomasharii
Joseph fata 0072 :
tufanye he?
2026-11-19 18:15:08
0
ibrahimumsagama2
Ibra45 :
kak nimemuon akanikimbia nifanyeje
2026-11-18 19:14:57
0
tayana_me
tayana_me :
kuna nyumba.hyo nilinyanyua mikono juu.kwa kifup kila kitu changu kilikua kinaenda sio
2026-11-15 15:47:19
0
mluhya75
mamake sheila :
mimi wanakuja kwenye duka langu
2026-10-29 09:45:28
1
fridamsafari525
Frida :
tupe chakufanya kaka tunaumia
2026-11-18 12:58:58
0
alicekaranja495
Alice :
mimi nili pata Kwa bathroom Nika iacha usiku asubuhi Nika mkuta jikoni kwasink Nika jaribu kuiua nikasindwa lakini Nika ika
2026-11-15 17:21:35
0
jean.paul.mufungi
Jean Paul Mufungizi :
nandani ya nyumba namo
2026-11-18 17:16:01
0
user1526513574602
Mpabuka mlisa :
mm ndan kwangu wapo kama wote
2026-10-29 14:29:58
1
ice_izo
mbora_izo :
mtu afanyeje
2026-10-29 06:04:58
0
mwanabeib
mwanabeib :
😭😭😭😭
2026-11-18 14:57:16
0
samiajeshi277
Samia Jeshi :
tunawatoaje
2026-11-13 18:53:28
0
emacureth
bint nchemmy :
daw nikufanyeje?
2026-11-20 21:11:25
0
user7756119665187
0998368513 :
amen
2026-11-14 21:09:19
0
nasramasaga
Nasra Masaga2334 :
tufanyaje kaka nikweli kuku wakichangamka tu wanakufa wote nisaidie
2026-11-14 12:42:58
0
user49138449749235
user49138449749235kavira cheil :
sasa mutu anafanyajee
2026-11-15 09:18:48
0
mama.fahad12
mama fahad :
kwahyo nifanyeje mi frem ina mijus nyumbn ndo ucseme
2026-11-15 07:38:05
0
emilmshana
EMIL :
Sasa kama tumejenga tufanyeje kuitoa mijusi.
2026-10-29 06:09:51
0
To see more videos from user @manyanda_billionaire1, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About