@hajjathamida: Mtume ﷺ aliujali ummati wake na akamuomba Allah kwa ajili yao. Hii inatukumbusha jinsi alivyotupenda na kutujali. Basi tuonyeshe upendo wetu kwake kwa kufuata Sunnah zake, kumswalia kwa wingi na kushikamana na dini yake. SOTE TUMTAKIE REHMA NA AMANI MTUKUFU WA DARJA❤️❤️ صل وسلم على نبينا محمد ﷺ #foryoupage #creatorsearchinsights #viral #fyp #ukhtyhamida