Dah watoto wa watu hawakuwa na silah zaidi ya Chupa za maji 😭😭😭 Mungu awapunguzie adhabu ya kaburi mlitoa maisha yenu kwaajili ya wengine ili Tz iwe na usawa ila tukaishia kulia na mpka leo tunawalilia makamanda 😭😭😭
2026-10-29 08:17:10
414
IKA🤍🧸🎀🌸🧋 :
nimeona Mt kavaa kofia ya traffic 😂😂😂
2026-10-29 08:35:23
134
shukuru malo :
daahh washitiza mwaka mashujaa wetuu
2026-10-29 08:03:52
132
@dazvinvincible :
We shall never forget our brothers
2026-10-29 10:39:44
0
Toxicshadow~0g🛠 :
R.I.P SOLDIERS 💔😪😪
FOREVER TUNAWAKUMBUKA
2026-10-29 10:31:59
0
Mohamed Tabibu :
mwenye kilanga hambiwi pole
2026-10-29 09:40:23
21
ibradizo :
R.I.P buddies
2026-10-29 10:28:57
0
2baba :
Unforgettable 29th October 🖤🥀🕊️”
2026-10-29 07:48:53
51
Mahuois :
R.I.P legends
2026-10-29 08:25:29
0
God’s favorite 🦋🌸 :
Hii siku tuitoe tu kwenye calendar inaumiza sana
2026-10-29 08:09:45
76
Scarlett Charlotte 🌹 :
damu zao zinatulilia bado ,MUNGU aturehemu
2026-10-29 07:39:06
116
pius mutu poa :
r.i.p makamanda sijui hata lakufanya 😭😭😭
2026-10-29 06:53:29
75
@RED SCORPION 🦂 🇹🇿🇺🇬🇰🇪 :
hii siku nilikua nyumbani naangalia movie ya Rambo
2026-10-29 08:04:06
31
it's mouh☠️🤑 :
mkisema maandamano yatokee tena basi me kwisha maana sina ata unga ndani😂
2026-10-29 09:35:59
13
VAR6080 :
RIP Mashujaa wetu hakika tutawakumbuka Daima
2026-10-29 08:49:23
40
Mr.V.T :
REST IN POWER....YOUR BLOOD WE NEVER BE FORGOTTEN
2026-10-29 10:12:35
1
plascon :
hii siku nakumbuka nilijifungia ndani nilipika ugali mkubwa na kitimoto kilo2,, nilipo maliza nikalala
2026-10-29 09:07:09
8
Machalila@ :
akili ndio kitu pekee kinaweza kukomboa nchi na sio nguvu
2026-10-29 08:09:22
8
~TEMPA MJAPANI 113⚠️ :
R.I.P mashujaa wetu Mungu awalaze mahara pem peponi🤲🙂↕️
2026-10-29 07:44:00
17
Kinglugo_255 :
Wanatudai sana, damu zao zinatulilia tuliobaki😢😢
2026-10-29 08:08:40
8
NASHYADEE🦋😍🧚♀️ :
Nilikua naumwa hii siku Yan kila hosptal zlkua ziii huduma za kutoa pesa nazo akuna bas niliangaika nyie ashukuriwe best angu🥰
2026-10-29 08:07:15
20
Ramesh :
kila mkulima huvuna alichopanda
2026-10-29 08:37:42
7
Mariam Juma :
Ugumu Wa maisha yetu maskin kwasababu ya hzi roho zilienda bila hatia
2026-10-29 08:06:37
5
To see more videos from user @semaji_genz, please go to the Tikwm
homepage.