@eacvibes: #fyp #tiktoktanzania🇹🇿 #EACvibes #kenyantiktok🇰🇪

EACvibes
EACvibes
Open In TikTok:
Region: TZ
Thursday 29 October 2026 06:39:19 GMT
31079
1763
172
185

Music

Download

Comments

swaumomary6
swaum :
Mm bila mwanaume sitoboi🙌🙌
2026-10-29 20:00:48
34
samwelwellu
Samwel Wellu :
hebu Wanaume mshee huu ujumbe kwadiri unavyoweza
2026-10-29 19:47:36
24
banyenda
banyenda 27 :
she's good😁😁
2026-10-30 06:55:11
0
magashipatrick
Magashi Patrick :
dada wa mwaka wa mbele..😁
2026-10-30 04:24:53
5
lucyzachar
Luyc😘 :
50/50 ni kila kitu dear mpaka domestic work kila mtu aheshimiwe majukumu ya mwanamke mwanaume hawezi vile vile ya mwanaume na hataukifosi inauma
2026-10-29 17:50:10
7
vivihoney_26
vee ✨ :
mi kama 50/50 itakua hadi kwenye kufanya kazi za nyumban fresh hela natoa! yan tupangiane zam ya kupika,kuosha vyombo, kufua, kulea watoto mbona fresh tu
2026-10-30 07:39:45
1
patrick.jerome2
Patrick Jerome :
Nikweli kabisaa kila mama yupo ivo😂😂
2026-10-30 06:00:30
2
_xionaaxo
_xionaaxo :
50/50 nzuri but ni kila kitu sio bill tu🤣
2026-10-29 13:04:19
8
tinamuzo2
Tina :
Kun mimi na Nina 100 bila ya mtu yoyote. na Kuna mama yangu aliyeachwa na sisi wanne dear Kila kitu kipo possible
2026-10-29 14:30:36
8
user5781156275704
viva boy Jr1997 :
yaana Kama ikiwa ndio 50/50 yakwelikweli nitapata Raha sana
2026-10-30 05:31:56
1
jesus.pawa
J E S U S :
Tumeona kama wanaume tutengeneze sanamu lako hapa Posta liwe kumbukumbu ya Taifa 🥰🥰🥰
2026-10-30 07:09:05
0
ronachoroha
ronachoroha🌼 :
kwan shingapi?
2026-10-29 11:51:13
3
youngdrack777
Young Drack :
wanamsikiliza kwa hasira
2026-10-29 20:49:20
10
liztibs2917
Bleden♍ :
50 kwenye nn? mbona tunakuza mambo jaman
2026-10-29 17:24:23
2
bublo.de.bry
Arton :
sanamu ya huyu dada ijengwe posta
2026-10-30 05:27:40
0
genencyboytz
MR G :
Nguvu ya mama na dada ni zaidi ya nguvu ya Iran 🤣🤣
2026-10-30 03:20:25
0
access.denied.lol
😼𓃭🇹🇿 :
Naomba dada ajengewe sanamu
2026-10-30 07:02:16
1
kaizilege1
kiba :
Namba gan inapokea dada
2026-10-30 05:48:31
2
godlive.danda0
Godlive Danda :
hyo ianze bhac maana nahisi Kuna watu watateseka sana
2026-10-30 07:04:17
1
user4846706185823
ALEX 21🚀 :
Ahsante madam🤝
2026-10-30 05:58:43
1
asmene84
🎀ياسمين🎀 :
siwezi mwenzenu Mungu awatunze wanaume 😂
2026-10-30 06:44:13
1
mungas43
Mr no body :
mimi napenda sana 50/50
2026-10-29 16:48:52
3
calvinbmk99
Bmk trouble maker99 :
That is smart girl we want
2026-10-29 22:35:03
1
queenvivy_cakesandgifts
Queenvivy_cakes&giftspoint :
Wengine tayari maisha yetu tupo 100/100 ata haitadumbua tutapumzika
2026-10-29 07:46:04
3
ally35903
AllyJ46 :
mmh hii povu nimeipenda do. igweeeeee😁
2026-10-29 14:39:23
2
To see more videos from user @eacvibes, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About