@for.life8626: Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Kaspar Mmuya, amewataka wataalamu wa mipango miji nchini kuacha kuidhinisha mipango ya matumizi ya ardhi kwenye viwanja vyenye ukubwa wa mita 20 kwa 20, isipokuwa katika maeneo ambayo tayari yameendelezwa kupitia urasimishaji. Mmuya ametoa kauli hiyo Oktoba 28, 2026, wakati akifungua Mkutano Mkuu wa 11 wa Wataalamu wa Mipango Miji uliofanyika jijini Arusha. Amesema utaratibu huo unaweza kutumika katika maeneo ambayo tayari yameendelezwa na kufanyiwa urasimishaji, lakini si katika maeneo ambayo bado hayajaendelezwa. Aidha, Mmuya amewataka wataalamu wa mipango miji kutekeleza majukumu yao kwa kuzingatia maadili na uadilifu, akibainisha kuwa baadhi ya wataalamu wasio waadilifu wamekuwa wakinunua viwanja na kuandaa michoro isiyo halisi ambayo haitambuliki katika mifumo ya Wizara#paza

🇹🇿For life
🇹🇿For life
Open In TikTok:
Region: TZ
Thursday 29 October 2026 06:39:22 GMT
15631
224
23
23

Music

Download

Comments

masakula2
masakula :
Tatizo viwanja viko juu Sana ghalama kubwa mno mliangalie na hili wa Tanzania wengi ni wahali ya chini mamlaka mulianalie hilo
2026-10-29 13:20:53
1
mashaka.john6
🦺Opt Bald🚜🦺. :
kipo kinauzwa 45m
2026-10-29 16:16:11
1
kitega5
kitega5 :
kipo kinauzwa milioni 30
2026-10-29 12:14:22
1
juma07882
Juma :
maishamagumu 20x20 inauzwa milioni 5 nnje yamji unakutaww una milioni 3 hapo paangaliwe naselikali maana wanaojadili hili wapokwemfumo sisi wengie hali niduni milioni3 unazitafuta miaka mi3 je?hapo pamekaaje
2026-10-29 16:57:26
0
zuu.fashion28
zuu fashion :
hahhahaahahhaha me mwenye 10/10 sijui nisemeje ni uzuni kwa kweli😅😅😅😅
2026-10-29 16:58:21
0
user6102780881616
user6102780881616 :
siku zijazo kama huna kadi ya ccm huruhusiwi kujenga
2026-10-29 16:51:52
0
user6500090862227
user6500090862227 :
😂😂😂
2026-10-29 09:22:30
2
alphonce.lucas8
Alphonce Lucas :
Ye kajenga mita mia kwa mia ndio maana anatudharau ss wa kawaida
2026-10-29 17:51:52
0
user4605280617135
user4605280617135 :
kwahiyo mbona hajasema tununue ngapi kwa ngapi
2026-10-29 17:03:47
0
usemr.disney
useMr disney :
Sheria no ngap kifungu gan namarekebisho yake yamefanyika mwaka gan mh li tujue kama mko sawa
2026-10-29 18:06:39
0
charlesibrahim27
charles@ibrahim. :
tukopeshwe viwanja tutaishi na kujenga mnasema tu kusaidi watu hakuna
2026-10-29 16:23:22
0
blackmen.tanganyi
Blackmen Tanganyika :
Je ambao tayari tumenga tufanyaje
2026-10-29 17:32:51
0
alphonce1149
Alphonce :
lakini kipato wote hatuko sawa viongozi kuna wengine tupo wa hali ya chini natunahitaji kujenga. shida siyo 20×20 shida kipato 🙏🙏🙏🙏😭😭😭
2026-10-29 14:38:25
0
user5960299893975
user5960299893975 :
mh
2026-10-29 10:19:55
0
user8884878591997
Rashid uled :
wapiime kuazia 30 kwa 50 angalua unakuwa huru na watoto wako, 20x20 kadogo sana na hii nch inamaeneao makubwa sana hawakai watu, asante muhemiiwa
2026-10-29 11:08:03
1
user1763397834396
Goodluck kafaya :
tutashudia mengi sana kipindi hichi vioja kibao
2026-10-29 18:35:17
0
kapingatech
KAPINGA TECHINICAL SERVICES :
Toa vigezo vinavyoendana na changamoto yakujenga kwenye eneo la 20x20. Usingepata iyo kazi ya utumishi hata wewe ungejenga kwenye icho kiwnja cha 20x20 nyumba ingetosha na ungeishi vizuri tuu.
2026-10-29 14:42:52
0
wangala.buhororo
Wangala Buhororo :
kamautakuaumekinunua weweutatukataza kukijenga
2026-10-29 18:12:43
0
kitambulio53
kitambulio :
😂😂😂😂😂😂 acheni kuzua taaruki 😂😂😂
2026-10-29 18:12:11
0
mgalla28
095 :
yaana hawa jamaa wakipata kaunafuu kidogo wanasumbua raia n hatar
2026-10-29 17:26:52
0
seneta5
SENETA 5. :
Wapimaji wana tamaa sana na wanawaibia wenye maeneo
2026-10-29 18:53:00
0
user9401386245335
kulwa zitto :
😁😁
2026-10-29 19:51:49
0
To see more videos from user @for.life8626, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About