@donmaster062: MUHIMU 🔥🔥 tunauza jeans za kiume kwa bei ya jumla na rejareja 👖💯 📍 tupo congo na muhonda, kariakoo. bei zetu ni rafiki, ubora 💯🔥 karibu ujipatie mzigo wako kwa biashara au matumizi binafsi. tunahudumia wateja wa mbali na karibu 🤝🔥 📞 Kwa mawasiliano na oda: 0766498653 au karibu inbox
Don master🥷🏿 🌴
Region: TZ
Thursday 29 October 2026 06:42:35 GMT
Music
Download
Comments
𝒔𝒎𝒊𝒍𝒆 𝒈𝒊𝒓𝒍👄💥💦 :
Natamani niweke status ila sasa🤪( )
2026-10-29 07:45:15
373
Momo :
Ndyo maana sipendi mazoea na wake za Kaka zangu
2026-10-29 06:49:12
267
MamaG :
[Tears of joy][Tears of joy][Tears of joy]ninayoyapenda
2026-10-29 11:59:33
0
cute peackock :
naeka status nikiachwanarudi kujadili na nyie
2026-10-29 08:55:02
54
aika :
wooooooouiiiiiii[Tears of joy][Tears of joy][Tears of joy]🙌🙌🙌
2026-10-29 14:05:34
0
Glory Nassary :
🥰🥰🥰🥰ahsanteeeee kipenz nataman kuchukua ila Sasa Sinapakwenda
2026-10-29 14:57:42
0
Niqaby queen👸 ❤️❤️ :
Ukweli ata mm hawanisumbui [Laugh approved][Laugh approved][Laugh approved]
2026-10-29 15:27:44
0
Binty 🥰🥰 :
Asante 🤣🤣🤣🤣🤣
2026-10-29 14:28:52
0
bizaliaabushiri :
me namalizia ujenzi namealika wifi yangu aje anitembelee, akija simpikii naingia kulala namwacha sebleni na akiaga anaondoka namwitia mwizi.
2026-10-29 09:08:48
19
Arsenal Girl ❤️ ♥️ :
Mimi nikieka status mwendo nimeumaliza 😩😩😩😩😩😩😩😩
2026-10-29 08:43:18
23
Annah Machera :
ngoja niichukue itanisaidia badae [Tears of joy][Tears of joy][Tears of joy]
2026-10-29 08:15:41
9
Mom💙🩷✅️ :
naangalia na nimetoka kuchambwa na wifi😌😌
2026-10-29 09:23:32
11
khamisi 🇰🇪 :
kuna watu wanaogopa kuweka hii status wacha niwawekee 😂🤣
2026-10-29 14:42:08
7
mom careen💃🦋 :
😂😂😂😂😂 nimeipenda hiyoo ila haisevik
2026-10-29 07:13:11
21
Its mama tee🤍🩶 :
😅😅😅😅😅😅baaaasssss
2026-10-29 10:22:43
0
diva the boss 🥰🥰 :
kwishaaaa, ningewek status ila sasa😂😂😂😂
2026-10-29 11:26:25
6
Hadija banda :
natamani kuweka status lakini mmh 🤔 kunamambo ayo ✌️
2026-10-29 16:09:16
1
Ruky Momo :
Wifi angu nilimpiga vichwa awakutegemea ukoo mzima na toka 2017 mpk leo 2026 nipo kwenye ndoa yangu na nina watoto wawili😌
2026-10-29 08:12:00
10
costansia :
uyu dada nimim kabsa sisumbuliwi na ndugu wa mume me kikubwa mme wangu kama ananipenda inatosha
2026-10-29 08:44:31
7
naaommy🥰 :
najua wengi mnatamani kuitupa status lakn mnaogopa😂😂
2026-10-29 16:48:22
1
Mama Lulu Beauty Saloon :
hahahaaaaaa
mm sijaolewa jmn lkn mm na huyo dada hatutofautiani hata kidogo😃😃😃
2026-10-29 16:33:32
2
Mamake Ridhwan 🌸❤️🩹❤️🎊 :
ningeweka status ila imekataa kuchulika 🤣🤣🤣
2026-10-29 16:12:40
0
Nuruh🐹 :
Ngoja nijizime dat niweke stutus😂😂
2026-10-29 16:24:34
0
mr,s j :
sasa mbon hamjairuhus jaman
2026-10-29 12:43:56
0
Asha🥰 :
mi naweka status watajua wenyewe 😂😂😂
2026-10-29 14:15:21
0
To see more videos from user @donmaster062, please go to the Tikwm
homepage.
© 2021-2026 TikWM. All rights reserved.