@eri0435: #tanzania Chadema leo tunaungana na watanzania wote na wahanga wote wa mauwaji ya 29 cotober 2025 tunatoa pole zetu kwa familia zote zilizopoteza wapendwa wao sambamba na waliopata madhila yaliyosababishwa na dola katili ya ccm.
Tunapowakumbuka wapendwa marehemu WA tar 29 Oktoba 2025
Waliouawa KIMKAKATI, KIUTARATIBU,
Hatuna budi kama Taifa kumlilia Mungu kusema Baba Tusamehe tumekosa
~ Padre Charles Kitima
caption nzuri isomeke "watanzania wote tunaungana na CHADEMA"
2026-10-29 09:30:22
17
mganwa mganwa :
respect
2026-10-29 12:33:07
0
gaby :
ndugu zetu leo wamemaliza mwaka walale mahali pema
2026-10-29 08:21:44
13
Mkenda motor :
duhhhh!!! duhhhhh!! duhhhh!!!
2026-10-29 11:42:29
1
mbise :
Makamandaaaaa
2026-10-29 07:12:53
10
vairas :
eee mwenyezi Mungu 😢😢😢 tunawaombea ndugu zetu walio uwawa Kwa kupigania haki ya taifa wapumzike Kwa Amani tunaomba uwende ukatutendee miujiza ila sio Kwa mapenzi yetu Bali Kwa mapenzi yako nenda kaonekana sasa waonyeshe nguvu yako hao walio tuulia ndugu zet🕊️🕊️🕊️🕊️🕊️🕊️
2026-10-29 08:25:34
7
BABA JAYDEN🇹🇿🇹🇿 :
2026-10-29 10:36:20
5
mk47official king oflove :
kwaheshima ya mashuja
2026-10-29 08:06:23
5
Yunis james123 :
pumziken kwaaman wapendwa wet
2026-10-29 08:09:47
4
yusuph makelele :
salut kwasimanz
2026-10-29 08:12:18
5
jpjuma :
tupo pamoja sana 😭😭😭😭😭😭😭😭😭
2026-10-29 11:04:00
1
𝔼𝕣𝕥ú𝕘𝕣ù𝕝 𝕘𝕙à𝕫𝕚👑⚔. :
ANDAMANENI NATAKA😂
2026-10-29 07:56:25
4
vinny driver :
mm sio nabii ila siku nyingii tutaona ukuu wa mungu🙏🏽🙏🏽🙏🏽🙏🏽🙏🏽🙏🏽🙏🏽🙏🏽🙏🏽🙏🏽🙏🏽🙏🏽🙏🏽🙏🏽😭😭😭💔🫡🫡
2026-10-29 11:16:25
2
JAY_K DECORATION 💫💫💫 :
mdgo wang lack
2026-10-29 11:50:12
0
Suda the mamy :
punzikeni kwa amani mashujaa wetu
2026-10-29 10:57:45
2
Max :
kwaheshima
2026-10-29 10:31:58
2
To see more videos from user @eri0435, please go to the Tikwm
homepage.