@ally.bin.mussa3: MWILI UNAODAIWA KUWA WA FIR’AUNI HAUJATHIBITIKA KUWA NDIO HULE HADI LEO!

Ally bin mussa
Ally bin mussa
Open In TikTok:
Region: TZ
Thursday 29 October 2026 07:10:18 GMT
18660
487
13
32

Music

Download

Comments

user4054284119936
Shuka :
Acheni ujuaji kwan Mtume katafsiri vipi?
2026-10-29 12:02:45
2
almashubby
ni shukuru 2u :
kwani bila fozani akuna mengine
2026-10-29 15:35:47
0
jumam.omar
Jumam Omar :
Mnazingua kila mmoja ana habr zke anazotuelezea
2026-10-29 14:09:55
0
fikirini40
abdalla ali gaedi :
kwl kabisa shekh
2026-10-29 15:27:36
0
muhammadhussein1310
King of the Jungle :
Mzee ameongea kitu muhimu na sawa kabisa, hivi mtume mbona hakuongelea kama mwili upo misri, Allah alisema kwamba atauokoa ili watu wale tu ambao waliamini kama yule ni mungu ndio waone kama huyu hakuwa mungu, na wanaotuonesha picha za kule misri, kila siku picha hizo zinatofautiana, hapa wazungu wametupiga na kutaka kutengeneza hela, kama wanavyofanya sasa kwa kujidai ati wameiona jahazi ya nuhu, hapa wanafanya mpango wa kupiga hela
2026-10-29 14:40:05
0
staradesign
stara design :
Yaani ni Shida sana tu
2026-10-29 09:01:36
0
bosswasfa
Alim :
ikiwa Allah mwenyewe ndio aliye sema atamuokoa mwili wake kizazi na kizazi wamuone ....sasa shekhe unapinga nini yani sisi wote hatukuelewa ila wewe tu basi tuambie alikozikwa Firauni
2026-10-29 12:02:31
0
user759829451
Ahmed Ahmed :
huyu mzee siku zote yuko katika upinzani
2026-10-29 09:47:06
2
halifamohamed655
halifamohamed655 :
Angekuwa saudi Arabia angekubali kuwa yupo😂
2026-10-29 13:08:40
0
user7726159160922
user7726159160922 :
mnajitahidi kupotosha lakini hamtaweza kubadilisha ukweli, leo hii tumesikia mabaki ya Meli ya Nuhu imeonekana huko, je ni kweli au mambo ya utali...?
2026-10-29 14:07:45
0
staradesign
stara design :
[Laugh approved][Laugh approved][Laugh approved][Laugh approved][Laugh approved][Laugh approved][Laugh approved][Laugh approved][Laugh approved]
2026-10-29 09:01:14
0
To see more videos from user @ally.bin.mussa3, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About