@bashasha_tv: Padri Dkt. Charles Hugo Kitima, Katibu Mkuu wa Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC), ameongoza Misa maalum ya kuwaombea Watanzania waliofariki dunia katika vurugu za uchaguzi zilizotokea Oktoba 29, 2025. Misa hiyo imefanyika leo, Oktoba 29, 2026, ikiwa ni kumbukumbu ya mwaka mmoja tangu kutokea kwa matukio hayo . #bashashatvupdates #bashashadigital #bashashamedia

bashasha_tv
bashasha_tv
Open In TikTok:
Region: TZ
Thursday 29 October 2026 07:17:58 GMT
49481
4267
210
96

Music

Download

Comments

elvisnyaranga43
ELLY CANTE :
kanisa la maana sana
2026-10-29 08:29:27
78
brianking415
BRIAN👑 :
Mama amka mama amka😭😭
2026-10-29 08:38:20
35
makamo.wa.raismgog
Makamo wa rais(mgogo) :
NULIZA KWNN NMASKOFU TU NDO WANAKEMEA HAYA WALOKOKE VP KMYAAA?
2026-10-29 08:17:38
26
pendodenis156
Pendo Denis🥰 :
laha ya milele awape eebwana mwanga wamilele angaziye
2026-10-29 07:58:31
27
ramamahanyu
mahanyu ramadan :
moja yahazina walizobarikiwa wakatoliki ni father kitima hongereni sana
2026-10-29 08:42:51
15
user9757558705663
peoples favourite :
mungu akupe heri zaidi
2026-10-29 07:54:58
20
mry09381
M@ry09 :
Wapumzike kwa amani😭
2026-10-29 08:17:29
8
mosesjonathan199
Jonathan junior :
am proud to be a Catholic
2026-10-29 08:49:24
2
ogpaul063
For Paul 1 :
Tuombe Sana
2026-10-29 09:58:25
2
anselin78
Anselin :
wapumnzike kwa Aman
2026-10-29 08:18:44
9
user7830514801969
julieth modest :
Raha ya milele uwape Eee Bwana na mwanga wa milele uwaangazie marehemu wote wapumzike kwa amani Amina
2026-10-29 08:25:33
14
tanzanitebeautydodoma
TANZANITE BEAUTY DODOMA :
hapo kuna haya✌️
2026-10-29 07:40:58
6
floralinus122
Linus Flora :
Mungu awaangazie nuru ya uso wake
2026-10-29 08:32:20
6
meshackmaalim
Meshack Maalim :
R.I.P MASHUJAA WETU mo29 😢
2026-10-29 09:18:03
5
mpendahaki.roman108
Kilimo kwanza :
Wapunnzike kwa amani
2026-10-29 08:30:51
7
njowelo6
Njowelo :
Wapumzike kwa Amani Mungu tutetee sasa
2026-10-29 08:22:28
6
furahisha.minde
Furahisha Minde :
Wapumzike kwa Amani Amina 🙏
2026-10-29 08:06:33
6
anduru147
am14578 :
Ibada kanisa tupu waumini wameisusia Asante waumini kuwapelekea ujumbe maaskofu wa TEC ili waone kwa macho yao mabenchi yalivyo matupu
2026-10-29 11:38:27
0
kulwa.sanga
Kulwa Sanga :
Amina😭😭😭😭
2026-10-29 10:15:28
1
sanababyj2025
Sana Tz🇹🇿 :
Roma ina nguvu bhana 💪 mungu awatunze
2026-10-29 11:28:15
2
user45625719810821
user45625719810821 :
Wapumzike kwa aman😭😭
2026-10-29 08:30:18
4
user52226211839437
Otieno :
Muhusika mkuu
2026-10-29 08:31:54
3
paskalikimaro07
Paskali Kimaro :
mungu awajalie pumziko la milele na wapumzike kwa aman
2026-10-29 09:21:28
4
enitha.kapesa
Enitha Kapesa :
wapumzike kwa amani
2026-10-29 08:19:02
3
www.amy.com56
🥰 :
mbona ni wakatoliki pekeee
2026-10-29 08:50:59
3
To see more videos from user @bashasha_tv, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About