@nunuanyumbanaviwanjagoba: Hii Muhimu Kufahamu wapendwa.. Viwanja vyote vipya ambavyo havijaendelezwa vya 20 kwa 20 vimepigwa marufuku na Wizara ya ardhi.. Michoro inayoonyesha viwanja vipya vya 20 kwa 20 pia ni feki haijaidhinishwa na wizara ya ardhi. Hivyo ukinunua kiwanja chenye vipimo urefu 20 na upana 20 hautaweza kufanya ulasimishaji (kupima) , hautoweza kupata vibari vya kuendeleza eneo hilo kama Kibali cha ujenzi na itakukosti kupata Hati. Umeelewa tajiri? Haya Leo tupo site kuanzia saa 2 asubuhi hadi 12 jioni. Tupigie 0767 891 406 / 0785 682 800 #luganoorealestateagency
bora maana tunashindwa ata kulima matembele dirisha linabanana na kalo la choo
2026-10-29 10:45:56
2
DNA SANDLES KARIAKOO :
Hizo 20 kwa 20 anamaanisha meter au feet
2026-10-29 09:29:07
3
JB. :
😂😂ukishiba huwez jua bei ya unga
2026-10-29 14:36:47
1
Kingcharlz77 :
Asante Boss tunatesawa sana na hawa madalali wa mashamba ya mjini. Mimi nilikataa kiwanja cha 20*20 japo bei ilikuwa ya chini sanaaaa
2026-10-29 15:39:15
0
user4281724700885 :
fafanua Waziri nini maana yake
2026-10-29 15:30:06
0
ABDALLAH ATHUMANI489 :
hii ni kwasababu maafisa wanakaa maofisini hawaji mtaani
2026-10-29 12:45:18
0
Amka :
hawa ndio viongozi ambao hawajui maisha ya wananchi wa maisha ya kawaida. mtaalamu asiyejua mahitaji ya wananchi. mwenye shibe hakika hamjui mwenye njaa
2026-10-29 15:49:09
0
🌟ROYAL🇹🇿 FURNITURE 🇹🇿TZ🌟 :
mnatupangia mnatununulia nyie
2026-10-29 14:57:13
0
mwanamvuaharuna :
ukitaka kulizibiti sema na wenye kiti wamitaa na watendaji wake
2026-10-29 14:57:34
0
rafikitz6 :
Alafu anafoka wakati wilaya na mikoa ni wao au kunaserikali mbili NACHUKIAKIONGOZI AKIFOKA HIVI JE INGEKUA RAISI KUPUNGUZA VIONGOZI MAANA TUNAVIONGOZI WENGI NA WOTE WANAFOKA SHERIA MNAZIKALIA NA KUZIJAMBIA KWA KUFOKA. Ovyo sana yani.
2026-10-29 14:58:31
0
Pearson Hardman :
unasema kama nanj na kwa sera ipi?
2026-10-29 14:39:16
0
️ :
niliwahi tembelea zimbabwe kiwanja kidogo ni 40x40,
2026-10-29 14:51:25
0
Chris Mushi :
10 kwa 10
2026-10-29 14:15:58
0
user1681253171334 :
uchumi wako unaendana na unachokisema
2026-10-29 14:18:24
0
Intyanyi :
Alafu kesho Halmashauri ya jiji la Dar es salaam wanauza viwanja Tausi, na 80% ya hivyo viwanja ni 20/20.
Zipo halmashauri kibao zinauza viwanja vya 20/20 na chini ya hapo, mfano Dodoma pia Leo wameuza viwanja TAUSI vina ukubwa chini ya sqm 400.
Hao maafisa wa halmashauri na wizara waliopitisha hiyo michoro ya 20/20 kwa viwanja vinavyouzwa na serikali hakuna hatua watachukuliwa.
Serikali inatengeza tatizo alafu inakaa kimya, unasubiri wananchi wakosee kama walivyokosea wao wawawajibishe
2026-10-29 14:07:54
0
Luganoo Real Estate Agency :
Kwa Goba na maeneo mengine kama Kimara, Mbezi Beach, Tegeta, Madale, nk ni maeneo yalioendelezwa tayari (yapo kwenye mipango mji) watu wamejenga sana tayari, hivyo inaruhusiwa.. kiwanja hata cha 10 kwa 10 unanunua... muhimu barabara ya gari ifike hapo, utaweza kupimiwa au kufanyiwa ulasimishaji.
Kwa wale wanaouza maeneo ambayobado hayajaendelezwa kama mashamba na kukatakata viwanja ndio anaongelea, hasa maeneo ya vijijini ndani ndani..hakuna makazi ya watu wengi, na mipango mji bado.
2026-10-29 13:19:28
0
Queen of trucks :
naomba mje na kibaha maana
2026-10-29 13:32:20
0
Fikiri Emanunuel :
hili jambo nilianza kulisikia wakati Rais Magu,lakini cha ajabu watu wa Real Estate wanaendelea kuuza viwanja vya 20×20 matangazo yao yako hadhrani,nani wa kuwachulia hatua.ni mwananchi?
2026-10-29 13:50:57
0
KING SULE spare parts :
wakati nanunua ulinichangia shi ngap
ukija uje na bastora pamoja na walinzi rasivyo mmoja atabak kwenye eneo mwingine ataenda jera
2026-10-29 16:02:45
0
difa :
au sio
2026-10-29 13:46:49
0
G7 :
naishi eneo la ekari moja, nahitaji kupima viwanja viwili kila moja nusu ekari. inaruhusiwa?
2026-10-29 13:58:44
0
clarachriss4 :
2026-10-29 12:53:16
0
To see more videos from user @nunuanyumbanaviwanjagoba, please go to the Tikwm
homepage.