Hao si team ronaldo ndio mana yani ukweli utabaki kuwa huyu LAPULGA ni mtu mwengine kabisaaaa ktk ulimwengu wa soka na ktk bahat kubwa alizowahi kupata Ronado ni pamoja na kushindwanishwa na MESSI lkn kiukweli kabisa messi hapaswi kabisaaaa kushindanishwa wala kufananishwa na Huyo ronaldo MESSI IS A REAL GOAT
2026-10-30 21:01:25
1
Mac Jr :
lazima wajue Messi is 🐐🐐
2026-10-29 07:58:11
9
Zakaria 49 :
Nitaftie messi akiwa na hii tuzo
2026-10-29 19:24:43
2
__heislio :
ronaldo aliacha kwenda kwenye izo tuzo mwaka gani.!? broh unamchukia goat kuliko kumpenda andunje 😂💔 hio zilikuwa tuzo za Saudia mzeeh 😂✅
2026-10-29 09:04:54
0
𝓚𝓸𝓾𝓭𝓾𝔃🥷🏻 :
2026-10-29 08:01:06
4
Ommy Digla :
Hii ndo haiwezekan kamwe 😂
2026-10-29 20:48:31
0
chike mp" :
siuuuuuuuuuuuuu cr777777777777 is goat🐐🐐🐐🐐
2026-10-29 12:40:37
1
Baraka Abraham :
Ronaldo ajawayi ku shiriki hâta Siku moya kwenye tuzo la ballon d'or yenye ana uhakika ku hu beba hata Siku moja
2026-10-29 16:26:32
2
alnadheer :
iyo ya haaland iyooooo😏
2026-10-29 11:37:20
2
𝐅𝐄𝐃𝐍𝐀𝐓𝐈𝐎𝐍_𝟎𝟔 ⫸ :
BOAT btw
2026-10-29 22:15:34
1
Persiatto ⚜️ :
Ronaldo alishatuthibitishia kuwa yeye GOAT tokea 2008 na ndo mana hakuna binadamu wa kuja kuivunja rekodi yake hili jamaa jini bwana 😂😂😂😂
2026-10-29 18:47:23
1
CHIBU 88🇵🇹🇹🇿 :
cr7
2026-10-29 11:47:36
2
zukir eagle :
Bro anamchukia Cr zaidi ya anavyompenda Goat wake funny😆😆
2026-10-29 17:47:19
1
kaju mpemba 45 :
Goat mmoja tu
2026-10-29 13:04:36
2
kodak 710 :
Tulia ww mbona unaongea uongo
2026-10-29 14:16:32
1
Chillah boy45✌️✌️✌️✌️ :
GOAT 🥰
2026-10-29 15:00:24
1
Simba O :
Wana mess mnashida
2026-10-29 17:46:52
1
6ix tn g16 :
waelekeze
2026-10-29 08:00:38
1
yolo :
umeona goat kapiga hat trick 😁😁😁
2026-10-30 05:29:02
1
🍀𝐉𝐀𝐍́𝐂𝐇𝐎'𝐁𝐘𝐒𝐄𝐑_ :
yeah mwanzo mwishoo
2026-11-04 20:10:55
0
Igo masta 😂😂💪## lile life :
AI iyoo
2026-10-29 20:47:56
0
Mkaka muuza cm :
2026-10-29 08:49:03
1
sofi mom :
naomba 2 uniblok
2026-10-29 20:42:17
1
Smoker 🚬 :
yaan we mwanangu unasifa hadi unakelaa[Big LOL][Big LOL][Big LOL][Tears of joy]
2026-10-30 13:41:51
1
To see more videos from user @h2g_boy, please go to the Tikwm
homepage.