yani yanga tunapigwa vita sana mara wachambuzi,marefa tff,makolo hadi fvs inatukataa kabisa yani
2026-10-29 10:42:43
9
Denisi Ananiasi andrew :
uyo mzee said jamani mpeni maua yake
2026-10-29 09:01:29
8
Tamla Modaizo :
dah kiukweli cjaelewa kilichofanyka pale ila waamuz wetu mungu anawaona tu
2026-10-29 10:32:29
8
Lameck :
Nikweli mtu kashika sawa siyo penalty basi itengwe faulo
2026-10-29 09:24:33
10
Issa Baby Jeremia :
mzee wangu uko sahihi sana sema bongo njaaa sana yani tuna dhiqi kubwa TFF wanaona vizuri upuuzi unaotokea uwanjani ila wanafanya kusudi kiukweli wapenzi wa mpira tunaumia sana ila Allah Qareem🙏🏻🙏🏻💚💛💚💛
2026-10-29 08:17:11
4
Zena :
KWELI
2026-10-29 15:57:30
1
amani 2 deule :
kwel kabisa
2026-10-29 10:06:42
1
mundliki :
nikwel mzee saidi
2026-10-29 09:27:10
2
kluivert :
yule mwamuzi alikuwa wamaelekezo kabisaa
2026-10-29 09:46:21
1
Ally Abdala :
MZEE SAIDI RIBASE MBONA UKUSEMA
2026-10-29 11:49:03
1
dully@kitoi :
uko sahihi
2026-10-29 08:39:40
2
Stella Yonah :
shida iko tff
2026-10-29 09:24:32
2
promisse jr :
mzee saidi mungu akupe maisha malefu 🙌🙌🙌
2026-10-29 12:34:38
1
isaya malanjiza :
😆😆😆😆😆😆 daaa
2026-10-29 11:21:09
1
FRANK Lucas :
tunaumia san mashabik wa yanga
2026-10-29 10:13:21
1
ALLY MWEMGATE :
Mzee wangu mpira wetu tatizo siasa na janjajanja nyingi
2026-10-29 12:57:50
1
injinia Robert :
huyu anajua sana
2026-10-29 09:39:04
1
SIFA :
uk sahih mzee
2026-10-29 09:31:50
1
denotion :
2026-10-29 09:01:43
1
chalesi mlema ndoke :
sana
2026-10-29 19:48:16
0
Patrick chales toj :
muzehe ukosahihi
2026-10-29 20:03:05
0
fidelcrissdeantho :
maisha marefu🫵🫵💪💪
2026-10-29 19:58:29
0
Wlilson :
👍👍
2026-10-29 22:12:57
0
Happy Gindo :
Saiz wamegundua kutubutua miguu 😂😂
2026-10-29 20:07:39
0
Mrs.Ndauka😘😘 :
wape hao wanawanyonga sana yanga
2026-10-29 17:18:45
0
To see more videos from user @shebby_yanga, please go to the Tikwm
homepage.