Uncle T Leo katokaa kusema hiyo tabia mbayaa 😂😂😂😂 kusema mshahara ya watu tupumzishee N laki mbilii zetuu😂😂😂 tuajiree ww utulipe million kama kuwezaa😂😂😂😁😁
2026-10-29 18:54:05
1
Djsniper45Kipaji💽⌨🎧 :
laki 2 si hela mzee! kunae watu wanalipwa elfu 50 kwa mwezi!
2026-10-29 17:22:52
2
teddy b :
je Elfu 70
2026-10-29 17:04:10
1
angel_2701 :
kuna sisi wa laki na ishirini jaman jaman
sijui tunalipwa seti ya hotpots😅😁😁
2026-10-29 12:15:05
2
aggy :
nalipwa 60k nafanyjeh sasa
2026-10-29 14:33:09
1
anna amasi :
ukiniajiri wew utanilipa sh ngapi
2026-10-29 14:49:41
0
MOBWE _PACKAGE STORE🛍️ :
ww unafanya kaz gn bro au ndo
2026-10-29 11:39:29
1
SK :
nalipwa ef 50 nasiruhusiwiii kutumia sim kazini
2026-10-29 14:24:08
1
zahara♥️ :
ndo nilitafta nikapata hii asa unataka nifanye kaz gan
2026-10-29 11:20:36
1
mpel Joseph mwakibinga :
kumbe kunawatu mnalipwa
2026-10-29 17:53:59
0
faustamsoka :
tuajiri wew utulipe milion
2026-10-29 19:22:55
0
BORN ² SHINE 🇹🇿 :
unalipwaje sabufa
2026-10-29 19:13:07
0
annie :
duuuh
2026-10-29 18:41:49
0
Eddo :
Mimi nalipwa elfu 70 alafu kula na kulala kwa boss na niko na 30 yrs old😢
2026-10-29 18:40:08
0
Hassan Gunguti :
mtajijua wenyewe kikubwa maisha yanaenda na malengo yanaenda na nishajeng home
2026-10-29 18:14:52
0
Jeff Tz 🥰 :
Kuwa wengi wanapilia 2000 kwa siku kilo mchele😂😂😂😂😂😂