hata world cup ingekuwa inachezwa huo mwaka angebeba
2026-10-29 16:38:35
12
𝕁𝕆𝕊𝕊𝔼ℙℍ †ꇙᵀᴬᴿ :
Mimi Nina miaka miwili[Laugh approved][Laugh approved][Laugh approved][Laugh approved]
2026-10-30 00:14:23
0
buti la zungu express :
Kuna Messi 2015 ni balaa
2026-10-29 21:35:54
0
izack@og :
Ata ingekuwa anagombania urais wa dunia angepata uo mwaka
2026-10-29 19:31:45
5
dannydax05 :
Ronaldo hajawai kua na TREBLE😅
2026-10-30 02:02:30
0
KESHENI MKIOMBA :
we mtoto mdog xn enz izo
2026-10-30 06:48:06
1
Biashara rahisi tz :
oya hujaiiweka puskas award hapo aliibeba goli alowafunga porto uefa
2026-10-30 07:05:04
2
『Rama Pongwer』 :
Alikuwa hatari huyo kijana wangu
2026-10-29 22:11:05
0
Op RUME 🇮🇷 🇹🇿+🦺🦺⛑️ :
Top😅
2026-10-29 17:22:29
1
Kaliua Plus Tz :
Yaani ingekua Kombe la Dunia limefanyika Mwaka huo basi Ureno wangebeba kwa Kombe kupitia uwezo wa huyu jamaa
2026-10-30 04:49:25
2
Arif Omar407 :
Ni kweli alikuwa hatari
2026-10-30 07:46:35
0
like mbappe7 :
2026-10-29 18:24:11
0
JULIUS RIMOY :
alikuwa ni hatari
2026-10-29 22:12:02
1
Ally Mahrez Jr :
hakika
2026-10-29 21:28:00
0
✮⃝ᶦ ᵃᵐRicardo kak✨★͙≛͙⃝͙♥️ :
Need goals? Call Lewandowski.
Need assists? Call De Bruyne.
Need dribbling? Call Neymar.
Need a playmaker? Call Xavi.
Need all of the above? Call Lional Messi he’ll give you Cristiano Ronaldo’s phone number.
2026-10-29 20:09:04
3
Central kizzy 🦅 :
Kuna lapulga wa 2015 kachukua mpak tuzo za marefa
2026-10-30 04:35:21
1
Mselaa Outfits 👖🎒 :
mashabiki wa Ronald wana akili sasa
2026-10-29 20:49:55
0
johnson :
Sasa bwanamdogo tulia
2026-10-29 22:03:24
0
p kazungu :
watoto wa lio zaliwa 2000 niwatakukubaria maana walikua watt ila sie tunajua kilakitu niwakawaida2
2026-10-30 05:27:32
0
gloire@ :
2026-10-30 02:02:54
0
Macmusa :
asikwambie mtu Messi kiumbe mwengine yes hatukatai ila RONALDO WA 2008 ndugu alikua zaidi kama hukuwa umeanza kuangalia mpira huo mwaka basi pole
2026-10-30 06:13:45
0
Chris boy :
🔥🔥🔥
2026-10-30 04:41:46
0
Mwidini KM :
🥰🥰🥰
2026-10-30 05:46:23
0
To see more videos from user @jamali.mkufya, please go to the Tikwm
homepage.