@michezo_online: @dominicksalamba_ ✍️..AMERUDI TENA BWANAAAA......🔰 Kwa habari za ndani na uhakika bila chenga kutoka pale makao makuu ya Klabu, Mwamba ndio kocha mpya wa Yanga baada ya mchujo mkali sana..Ikumbukwe Sead Ramovic alipita Yanga kwa muda mfupi na kuwa kipenzi cha Wanayanga.. NB..! Haya Sasa Wananchi ile Gusa achia twende kwao imerudi tena😂😂 #TotalEnergiesCAFCL #kenyantiktok🇰🇪 #yanga #tiktokindia #TotalEnergiesCAFCL #
michezo_online_tz
Region: TZ
Thursday 29 October 2026 07:54:02 GMT
Music
Download
Comments
~Daqat Qalbi~🫂👑 :
jezi walizovaa co za msimu huu mwane2
2026-10-29 08:59:05
11
Annie :
Pole kwa changamoto za makocha kiongozi
2026-10-29 16:27:04
0
John Mtei :
2026-10-29 12:30:07
1
kerubi :
Nahapo mkude alikuwa yanga
2026-10-29 12:34:15
2
. :
shekhan farid waaaaapi weweeee
2026-10-29 16:19:35
0
rugie_02 :
gusa achia twende kwao
2026-10-29 16:19:16
0
Idaya :
Kila laher raisi wetu na wakeup wote wanayanga
2026-10-29 18:21:34
0
🚭Łïķø jüñïôř🌿 :
iyo ya zaman [Tears of joy][Tears of joy]
2026-10-29 16:49:24
0
fellow :
jezi tu zinajulikana za lini
2026-10-29 11:00:21
2
BABA WA IMANI 💰 :
mbona jezi sio za mwaka huuu🤣🤣
2026-10-29 12:05:08
0
briner💞💞 :
ila huyu kocha sijui kwann aliondok mzee wa gusa achia twend kwao mwend wa 5 6 7 daah natamn arudi
2026-10-29 12:03:32
0
mwaka electrical :
mhhh ,na mkude karudi?
2026-10-29 16:48:56
0
sherry_me3 :
hii mbona ya zamani
2026-10-29 10:52:55
0
Mwl.william peter :
hii ni ya zamani
2026-10-29 18:40:43
0
Baba ivany :
ya zaman bhana ,
2026-10-29 08:22:42
1
De :
Farid Musa Enzi Izooo
2026-10-29 18:57:15
0
Monicca :
Yazamn
2026-10-29 10:49:57
0
kitaa usseri :
mmmh shekhan katika wapi
2026-10-29 10:03:33
0
Dan Chiv833 :
Farid Musa Malik yupo coast union baba au basi ngoja2 ni like nsikuangushe
2026-10-29 09:21:44
1
Official Ally :
Aliemuona mkude tujuane apo
2026-10-29 16:28:55
1
bob :
chuma kimerudi aisee
2026-10-29 15:30:16
0
Asha Marundo :
elis wetu tukopamoja sana usi sikilize wakoswakazi
2026-10-29 18:23:29
0
AGRI🌿🌽 and 🐄🐄OFFICER 🥰 :
😂😂😂😂 hii uongo mbna namuona mkude
2026-10-29 15:58:55
0
greyson lenald :
iii yamda
2026-10-29 16:24:13
0
JOFRATZ :
mkude na shekhan bado wapo yanga si ndy 🤣😂🤣😂
2026-10-29 09:04:21
0
To see more videos from user @michezo_online, please go to the Tikwm
homepage.
© 2021-2026 TikWM. All rights reserved.