@kiswahilitvonline: Huu ni moja wa mtindo wa ushangiliaji wa Cristiano Ronaldo lakini pia José Mourinho alifanya ishara hiyo akisherehekea ushindi wa Real Madrid dhidi ya Barcelona (El Clásico) katika uwanja wa Camp Nou mnamo Oktoba 2026. 👉Kwa wale wanaojua mpira ishara hii inamaana gani?

kiswahili Tv
kiswahili Tv
Open In TikTok:
Region: TZ
Thursday 29 October 2026 08:10:45 GMT
52696
1955
36
25

Music

Download

Comments

dancodagy6
Danco Danco :
Even Enzo did it in worldcup
2026-10-29 14:24:29
0
soccer2693
pilipili :
endeleeni kuongea mbona siwasikii
2026-10-29 09:29:17
10
emmanuelanton07
BOY ALONE💰 :
Enzo Fernandez pia aliutumia kombe la duniaa
2026-10-29 11:15:13
2
khvicha_kvaratskhelia_77
de_statham_06 :
celebration style ya enzo Fernandez
2026-10-29 10:57:17
0
athumansaidy333
Ochu tz tz :
apo Jose Mourinho alienda Kwa mashabik wa Barcelona na kuwaambia mbona siwasikii mkiongea Tena mbona mpo kimya..ndo maana yake iyo inatokana na mashabiki walimkashifu kabla ya mech ata iyo ya Ronaldo ipo hvo hvo
2026-10-29 08:43:53
2
joxh1000
joxh✌️✌️ :
huo unaitwa COBRA style yan 😁yupo kama cobra na anapo tumia mikono anamanisha anawang'ata
2026-10-29 11:37:05
1
ahsante.wolf.kambona
Ahsante wolf 🐺🐺 :
Io style alianza nayo messi akaja enzo ila izi zako ni Ai angalia zote zinafanaa kila kitu ata kama ni style moja ila action aziwez endana kama ivyo
2026-10-29 11:11:41
0
malitipol
Arrman :
ongeeni tena
2026-10-29 12:02:38
1
samirhajikigoda
GENELAR SETTING :
kuongea sana mwisho wake
2026-10-29 10:30:49
2
yudmax3
🍀YILIDIZ10⭐🍁🍁 :
2026-10-29 10:34:27
1
giviic7
GIVIIC :
el nino
2026-10-29 10:58:21
1
iddy.kimweli
first born :
uyo ENZO FERNANDEZ
2026-10-29 12:30:19
0
ahshaksy19
ahmad_shaksy19 :
mchezaji gan namba 1
2026-10-29 12:51:16
0
philipojn187
Philipo Jn :
Enzo Fernandez
2026-10-29 12:02:24
0
sbpanliqaqc
PANG B SB tz💧 :
uo unaitwa cr
2026-10-29 10:55:49
0
aumadjr
KILLER JR :
ongeza kelele siwa sikiiii
2026-10-29 12:30:18
0
poison9817
STARBOY OFFICIAL :
Unamaana, Sijasikia pigeni tena kelele
2026-10-29 12:37:34
0
mussajohn987
Mussa John :
warikuwa.wanamjibu messi
2026-10-29 13:06:42
0
jozee.mtambo1
JOZEE MTAMBO :
Siwasikii endeleen kuxhangilia
2026-10-29 14:30:58
0
emirates1669
C E O :
bado sijaskia ongezen makelele tena na tena
2026-10-29 11:40:16
0
wasonge
Aaron :
kamuuliize enzo anajua
2026-10-29 11:50:05
0
user6990014222725
Ayoub official. :
anamaanisha shangilieni nawaskiliza
2026-10-29 11:05:11
0
tryjr2
tryjr :
AI
2026-10-29 13:09:31
1
saimonalphonce913
civicus :
inamanisha kwamba somen comment yangu😂🤣😂🤣😂
2026-10-29 10:10:47
2
user3565575466130
NBA Apolo 99 :
it means people that can't hush
2026-10-29 13:56:30
0
To see more videos from user @kiswahilitvonline, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About