@miriamkisaka: Vijana wa Tanzania 🇹🇿❤️ Tuilinde amani ya nchi yetu. Hatutaki vita, hatutaki chuki wala vurugu. Tunachotamani ni amani, upendo, umoja na taifa ambalo kila mmoja anasikilizwa na kuheshimiwa. Tanzania ni nyumbani kwetu, tuilinde kwa upendo. 🕊️❤️🇹🇿 #TanzaniaYetu #VijanaWaTanzania #AmaniNaUpendo #29Oktoba #Tanzania🇹🇿
Mungu azilaze Roho za wapendwa wetu mahali pema peponi
2026-10-29 10:52:40
27
Grace raph :
😭😭😭😭😭😭nashindwa niseme nini maumivu ninayo jihisi
2026-10-29 11:00:25
10
Spices&More🌶️ :
Muda kama huu last year😭😭😭😭😭😭😭hatuna mtandao,ni milio ya risasi tu na askari tele wanazunguka mitaani....Mungu mioyo yetu bado inavuja damu,wot waliotangulia mbele za haki wapumzike kwa Amani🙏🏽
2026-10-29 12:36:52
4
Mary TAL✌🏼❤️ :
Siku ngumu sana
2026-10-29 13:35:16
0
Anneh Nziku772 :
Mungu apokee roho zao 🥺💔
2026-10-29 12:49:35
2
BBF Event :
hili anga la siku hiyo tayar lilikuwa na huzuni
2026-10-29 13:15:35
1
Alex john :
Muendelee kupumzika kwa amani damu yenu iwe ya ukombozi
2026-10-29 10:52:16
4
Urulain3 :
jamani mbona hamuwakumbuki wale wamapinduz ya Zanzibar walochinjwa nakupigwa risasa maelfu ya watu weng wao wazee na watoto...
2026-10-29 11:11:34
3
Rey Rehema :
pumzika kwa amani baba yangu mdogo umekufa bila hatia
2026-10-29 11:18:11
4
Josephmodoks :
pumziken kwa amani wenye majeraha waendelee kupona
2026-10-29 13:04:36
1
Davis luyembe :
kwa heshima sna mashujaa wtu
2026-10-29 13:08:08
1
Rich_ :
80% hao wote ni marehemu... Mungu Asante kwa zawad ya maisha yao
2026-10-29 11:30:26
6
user6206077081785 :
hakuna amani bila Haki.
2026-10-29 12:27:49
2
mama p :
bila.kuchoka daima.tutqwakumbuka mashujaa wetu
2026-10-29 12:22:44
3
user848658751142 :
😭😭😭kwa kweli walotekeleza jambo hili mungu anawaona
2026-10-29 13:17:03
0
Mamahusseinmitumba :
Pumzika kwa amani mdogo wangu 😭😭😭
2026-10-29 10:51:03
1
BIG mjeshi :
Allah awapunguzie adhabu mashujaa wetu yarabb🥲😪
2026-10-29 11:26:57
1
Mshindi mshindi :
HAITAA ITOKE MIOYONI MWETU HASWA TUNAPOONA WALIOUA NDG ZETU WANAENDELEA KUTEKA NA KUUA...WIZI WA MALI ZA UMMA HIYO INATUFANYA TUWACHUKIE ZAIDI NA MUNGU HATANYAMAZA
2026-10-29 11:06:05
5
secilia beauty point salon :
😭😭
2026-10-29 10:29:24
1
Diro kizz :
wazalendo walio tangulia mbele za haki
2026-10-29 11:31:05
0
happy mgonela :
hii siku ngumu sana
2026-10-29 10:53:24
1
Amo well :
daah inauma sana
2026-10-29 12:14:41
1
sallie622 :
Aiseee na watu walitoka wengi maskini 😭😭😭,aisee inauma mno,hapa hawajui kama watauliwa 😭😭😭💔💔🙏🙏🙏
2026-10-29 11:08:13
2
Thepioneerwoman🌹 :
Inauma jamani Mie nalia siku nzima leo
2026-10-29 10:53:29
3
To see more videos from user @miriamkisaka, please go to the Tikwm
homepage.