Ndo maana mimi wakinisalimia asalamalekh najib salama
2026-10-31 05:55:55
2
moses tadei :
mungu hana asila wala hakulupuk anatend talatib na tukisahau makos tunalud kusema mungu nisaidie
2026-10-29 09:24:00
5
Agness Nkugwe :
Hawajui🤣🤣🤣. Yesu anajitosheleza
2026-10-29 17:50:51
6
lofombo :
mungu atashughulika nao
2026-10-29 09:57:41
11
user5804159732595 :
ata walipomuua yesu injili iliendelea ko wanafanya marudio mungu ashughurike nao🙏🙏
2026-10-29 12:09:16
6
Jihan Maketh :
sisi atupigani tunapiganiwa na Mungu. acha Mungu afanye yake juu yao
2026-11-01 17:19:52
0
@Lavɛnder :
Wakristu hatukufundishwa chuki, na vita si vyetu, ni vya Mungu.
2026-10-30 06:30:45
3
ginah❤️ :
tuseme tu ukweli wa Mungu ndugu zetu waislam mna udini sana ,alaf msichokijua ni kwamba Mungu ni mmoja tu matendo yetu ndio yatakayotupeleka peponi aijalishi ni muislam au mkristo
2026-10-30 11:00:20
1
Jackson lolenzi :
apa natalajia kuona mapigo ya mungu mwenyewe
2026-10-30 11:16:17
3
mama munga :
hii ni nyakati ya mwisho
2026-10-30 13:09:58
1
To see more videos from user @mwl_michaelsindi, please go to the Tikwm
homepage.