@nijuzenews: Padri Kitima: 'Niliuliza swali kuiba kura dhambi sio dhambi? Baada ya muda Millard Ayo wakaambiwa ifuteni' Katibu Mkuu wa Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC), Padri Charles Kitima, ameyasema haya leo Oktoba 29, 2026, katika misa ya kuwaombea marehemu na waathirika wa matukio ya Oktoba 29, 2025. Subscribe kwenye YouTube Channel yetu kwa habari motomoto>>> https://www.youtube.com/@NijuzeNews Subscribe kwenye WhatsApp Channel yetu>>> https://whatsapp.com/channel/0029Vb6s4M91NCrctJX2YG2u Tembelea tovuti yetu kwa habari zenye uchambuzi wa kina>>> www.nijuze.com