wenye sifa izo asilimia kubwa ni sisi group" 0" yani atuelewekagi kabisaaa😂😂😂
2026-10-30 10:32:54
110
veronique Peter :
uyu mm kabisa [Laugh approved][Laugh approved][Laugh approved][Laugh approved]
2026-11-02 15:42:40
0
nah56 :
kunasiku naamka tu hivi naanza kublock watu😂😂😂
2026-10-29 19:06:49
43
Prisca Daniel :
me ndo I like
2026-11-02 08:45:58
1
Lovely16 :
😂😂Wewe ni mimi na kuna siku naamka sitaki hata kujiongelesha najinunia hata sikuli
2026-10-29 18:23:38
65
Salome Kambi :
kuna siku sitaki kupokea cm kabsa yani akipiga mtu simu namute narudi kulala tena 😂😆😂
2026-10-29 20:08:35
13
kjay mavituzi :
saa zingine naenda kwetu nakaa mpaka nasahau kama niliolewa nkikumbushwa ndio narudi kwangu
2026-10-29 20:27:15
14
mamukhamis :
Uyu ndo Mimi Eeh mungu nisafishe hii group O yani kuna muda unaamka mwehu si mwehu chizi si chiZi kisirani tuu yani kunamuda hua natamani nimfukuze mpangaji mwenzangu ili ahame akatafute nyumba nyingine yani sitaki kumuona mtu na sitaki kusikia Sauti zawatu sim nazima nikija kukumbuka kuwa mi nayeye wrote niwapangaji najing'ata naanza kulia hata luku ikiisha sitoi pesa hadi hasira ziishe na wakigonga mlango sifungui wala siitiki uyo ndo Mimi sasa[Tears of joy]
2026-10-29 17:42:02
6
ashy ashy :
huyu ni mm kabisa🤣🤣🤣🤣
2026-10-29 16:56:22
14
lidia sanga :
Kuna siku sikusalimii tu utawe na nimenuna kama sio mm😂😂 nakuangalia vizur kabisaa ila no salamu utawezaaaa
2026-10-29 15:10:27
8
mjukuu wa tayari :
tupo wengi, yani kunasiku naamka sijielewi wala sijioni najitafuta na sijipati je utanivulilia🤣🤣🤣
2026-10-30 03:51:56
7
Elizabeth Thomasi :
nitakuzoea tutaenda kwa stahili utakayoamka nayo
2026-10-29 14:21:00
5
Getruda Anthony :
kumbe tupo wengi
2026-10-29 20:07:36
5
officialdayana :
🤣🤣🤣nanunia hata mtu ambae simjui
2026-10-31 18:47:55
2
Doricas Mussa :
mh
2026-10-30 06:37:36
2
CARREN puite :
UWiiiii kumbe tupo wengi
2026-10-29 15:31:05
5
recho🦋 :
kuna siku nikiamka naanza kulia tu
2026-10-30 12:33:23
1
Omega...mkonyi🥰 :
nasemaga ni mm tu kumbe tuko wengi
2026-10-30 13:53:27
1
zee_cuty4 :
😂
2026-10-30 12:07:57
1
Malkia munira 🫅🏽🫅🏽🧜🏻♀️ :
Kama najiona vile ndio hali yangu iyo kwa sasa 😂😂😂😂😂😂😂😂
2026-10-30 12:43:15
1
Angel Melek :
its me
2026-10-29 20:05:50
1
ma naah🥰 :
Kuna ck naamka nafuta number za watu bila sababu 😂😂
2026-10-31 05:07:06
2
deborahbauma97 :
nimekutana n'a mutu kama Wewe haki ya mungu najutiya kila Siku 🤣
2026-10-30 15:40:00
1
Empress👑Aira🌬 :
kiufupi n kwamba haijalish umenipata nikiwa nipo kweny hali gan..kila mtu atanichukia kwa wakat wake🫴😅
2026-10-30 04:19:20
3
Emmy Manyika :
kuna siku naamka natukana sana majirani kwa saut kubwa🤣🤣🤣🤣
2026-10-30 16:53:41
4
To see more videos from user @hellmy90, please go to the Tikwm
homepage.