@afyacoach_255626304554: #usa🇺🇸#usa🇺🇸 #usa🇺🇸#usa🇺🇸 #usa🇺🇸

@AfyaCoach +255626304554
@AfyaCoach +255626304554
Open In TikTok:
Region: TZ
Thursday 29 October 2026 08:52:51 GMT
96123
2464
65
177

Music

Download

Comments

user35121482100467
user35121482100467 :
me nianz sasa klinki miez 🤣4 tayri
2026-11-04 09:57:36
6
malkia630
malkia zuuh 🇨🇩🇰🇪 :
samahani nikila siku ama je
2026-11-04 12:36:01
1
julieththebosslady
julieth the boss lady 🌸 :
me nimeanza kutumia mimba ikiwa na miezi saba kasolo kuna kuwa kuna shida
2026-11-19 08:28:01
1
bahatimmoboa799
Bahaty@👌 :
sijuw labda izo folic acid kuliko fefo man natapika tu kila day nikitumia fefo khaaa
2026-10-29 14:32:41
3
user4679056406
Lulu :
nimeanza kutumia mienz mitatu baad ya mimb inashida
2026-10-30 14:28:43
4
user7737183006565
mrs good :
nilianza.kutimia.nikiwa.na.wiki.mbili.apo.kuna.shinda
2026-10-29 14:11:25
1
lilly_mhy7
Lilly_mhy :
wanaanza kutumia mimba ikiwa miez mingp
2026-11-06 11:37:58
1
belkia40
belkia💞💝 :
mm natumia fefo natapika sana
2026-10-30 14:19:15
1
user1763221014653
user1763221014653 :
sasa unahitumiya aje kwa siku unatumiya mara moja ao mara mbili
2026-10-29 13:13:02
1
senje360
suzytommy :
nimetumia folic acid nikamaliza nmerudi tena clinic nmepewa fefo kwani zinautofauti gani au zote zina kazi moja
2026-10-29 15:33:59
0
indian.garll
Giaana💫💫✨❤️ :
naezaa achana nazo ju nikoo miezii ishirini na mbili????????
2026-10-29 16:17:28
0
mariapetrol696
Mariam petro :
unatumia had miezi mingap??
2026-11-09 20:09:25
2
user142304124483
sophie :
docta mbona wengine wanasema nikutumia bado ujashika uja uzito
2026-10-29 12:17:15
2
arafamapunda0
arafa omy :
izo dawa zinapatikana kwenye maduka ya madawa au hospital tu
2026-11-13 07:38:14
1
shadyashaban0
It’s me 💦🌸 :
Kwan unameza kila siku au 😳 maan mim swala la dawa ni changamoto jmn 🥺
2026-11-06 18:06:47
1
user2280042281382
louange cadette :
unatumiya mpaka myezi ngapi
2026-11-03 15:14:21
2
raish.burbie
Raish Burbie :
nmeanza sahivi ikiwa na wiki 18😳
2026-11-05 07:56:13
1
alizahbeth2
Mamake girl❤️😘 :
naeza Anza kunywa mimba ikiwa na 8 months?
2026-11-08 05:59:25
1
rujayna.ally
Ex Ex :
kwani naruhusiwa kunywa hiyo dawa bila kuanza kiliniki make Nina miezi 5 mimba yañgu bado sijaanza kiliniki vp nikitumia haitanitia mazara? naomba kujua kwanza
2026-11-04 18:45:54
1
bint.mvungi
Bint Mvungi :
tofaut kati ya za njano na red zinatofauti gn
2026-11-03 07:55:51
1
kama.karonge
kama karonge :
mm hata sijui ina muda gani na hivyo vidonge navitoa wapi
2026-10-30 15:34:05
1
gracious00736
gracious007 :
Doctor mbona me nimepewa fefo na folic acid yani nitumie aina zote mbili lakini napata kichefuchefu nikimeza
2026-10-30 21:03:12
1
hmee.alliy
Hmee Alliy :
docter mimi nimechelewa sana 😢😢 kutumia miezi 7 sasa jee kunashida dcter🥹🥹🥹
2026-10-29 20:40:07
1
amyna.juma309
Amyna Juma :
acheni tabia mbaya mtoto anatengenezwa na dawa au Muumbaji Mungu
2026-11-06 13:47:54
3
baby.girl82390
baby girl :
@baby girl: Samahn dr mm mimba ya kwanza sikutumia folic acid nilijifungua mtoto ana Down syndrome je chanz ni iyo folic acid ambayo sikunywa au , na je unanishauri nn mimba nyingine ili nisipate mtoto mweny changamoto iyoo??
2026-11-07 02:42:15
1
To see more videos from user @afyacoach_255626304554, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About