ametuachia maendeleo dodoma mungu ameona kaz yako baba john pombe magufuli
2026-10-29 15:12:42
4
shadrack timoth🫶🫶🫶 :
atleast tunaanza kuonekana tumestaarabika
2026-10-29 17:10:56
2
Hancepop Essau :
legacy aliyoiacha Magufuli n kubwa mno
2026-10-29 17:57:12
2
STR33T_RUNNER :
Kazi ya magufuli iyo🔥
2026-10-29 12:49:03
6
Ibraah plumbing services :
Dodoma 🫡🫡
2026-10-29 08:59:01
2
user9091799307129Mzalendo tz :
Hongera serikali yangu mungu awaongoze...msiluhusu kujalibiwa...anae wajalibu apate tu kile anacho stahili hata kama ni kwa ghalama yoyote ile ❤️🔥🇹🇿❤️🔥🇹🇿❤️🔥🇹🇿❤️🔥
2026-10-29 18:11:20
1
user42291926107637 :
duuh noma sana ka so tanzania
2026-10-29 14:06:44
1
Batiso the boy💪 :
jaman taa nyeupe Hailet mwonekano mzuri kwa usiku
2026-10-29 13:16:41
2
turyansengawanka :
majengo meng mafundi tume zurumiwa apo
2026-10-29 17:47:52
1
user6678452981268 :
mji wa serikali maana yake ni ikulu au nn mm sielew
2026-10-29 17:40:18
1
IBRAA_MASTIKA🇹🇿 :
rest easy JPM
2026-10-29 14:01:08
0
GFTD HNDZ :
watanzania tunaruhusiwa kuja kuishi huko?
2026-10-29 18:24:34
1
mawio🌄🌇 :
MJI WA KISERIKALI MAGUFULI CITY 🙄🤌🏾😏
2026-10-29 15:26:52
2
To see more videos from user @pm_property, please go to the Tikwm
homepage.